Full charge
JF-Expert Member
- Mar 1, 2018
- 1,678
- 1,617
Habari wakuu, mimi ni shabiki mpya kabisa wa Yanga,nahitaji msaada namna ya kupata kadi ya shabiki au mwanachama ya NMB.
Naomba kueleweshwa utofauti wa kadi hizi mbili pamoja na gharama zake na gharama za ada ya mwezi/mwaka.
Natanguliza shukurani kwa wote mtakaonisaidia maana nahitaji kuichangia timu yangu ninaipenda sana, naombeni msaada kabla sijaelekea benki wala tawi la Yanga. Niko Kahama Shinyanya.