Msaada: Nahitaji kadi ya shabiki/mwanachama ya Yanga

Full charge

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2018
Posts
1,678
Reaction score
1,617
Habari wakuu, mimi ni shabiki mpya kabisa wa Yanga,nahitaji msaada namna ya kupata kadi ya shabiki au mwanachama ya NMB.

Naomba kueleweshwa utofauti wa kadi hizi mbili pamoja na gharama zake na gharama za ada ya mwezi/mwaka.

Natanguliza shukurani kwa wote mtakaonisaidia maana nahitaji kuichangia timu yangu ninaipenda sana, naombeni msaada kabla sijaelekea benki wala tawi la Yanga. Niko Kahama Shinyanya.
 
Habari wakuu,mimi ni shabiki mpya kabisa wa Yanga,nahitaji msaada namna ya kupata kadi ya shabiki au mwanachama ya NMB.

Naomba kueleweshwa utofauti wa kadi hizi mbili pamoja na gharama zake na gharama za ada ya mwezi/mwaka.

Natanguliza shukurani kwa wote mtakaonisaidia maana nahitaji kuichangia timu yangu ninaipenda sana,naombeni msaada kabla sijaelekea benki wala tawi la Yanga.Niko Kahama Shinyanya.
ingia tawi lolote la nmb
 
Habari wakuu, mimi ni shabiki mpya kabisa wa Yanga,nahitaji msaada namna ya kupata kadi ya shabiki au mwanachama ya NMB.

Naomba kueleweshwa utofauti wa kadi hizi mbili pamoja na gharama zake na gharama za ada ya mwezi/mwaka.

Natanguliza shukurani kwa wote mtakaonisaidia maana nahitaji kuichangia timu yangu ninaipenda sana, naombeni msaada kabla sijaelekea benki wala tawi la Yanga. Niko Kahama Shinyanya.
Mkuu tunaomba mrejesho, ulifanikiwa?
 
Simple and clear!! Unaenda kwenye tawi la Yanga lililo karibu nawe unajisajili na kupewa mwongozo.
 
Mtafute Mzee Magoma ndiye mwenye Yanga yake, wengine ni matapeli.
 
Back
Top Bottom