Msaada: Nahitaji majina ya watoto wa Kike na Kiume ya Kiafrika, yasiwe ya Kizungu, Kiarabu wala Kiswahili

Msaada: Nahitaji majina ya watoto wa Kike na Kiume ya Kiafrika, yasiwe ya Kizungu, Kiarabu wala Kiswahili

Majina ya Kiafrika hutegemea na tukio na muonekano.

Mfano wamakonde walikuwa na mpango wa mtoto akizaliwa ataetoka alipozaliwa kwanza atachokiona kwanza au atachokisikia kwanza ndiyo jina la mtoto.

Mfano katoka ndani akaona kwanza betri, mtoto ataitwa "betili" kama kaona chupa kwanza mtoto ataitwa 'chupaki".

Mambo kama hayo.
 
Majina ya Kiafrika hutegemea na tukio na muonekano.

Mfano wamakonde waikuwa na mpango wa mtoto akizaliwa ataetoka alipozaliwa kwanza atachokiona kwanzaau atachokisiaa kwanza ndiyo jina la mtoto.

Mfano katoka ndani akaona kwanza betri, mtoto ataitwa "betili" kama kaona chupa kwanza mtoto ataitwa 'chupaki".

Mambo kama hayo.
Hata Wasukuma kuna watoto walipewa majina kutokana na matukio yaliyojitokeza nyakati hizo
Mfano: wakati wa Njaa Mwanamke aliitwa Nyanzala Mwanamme aliitwa Nzala.
Mtoto aliyezaliwa njiani kuelekea Hospital aliitwa Mayila (Ke) na Nzela (Me) maana yake ni njiani
 
Nyanjige,nyangeta,nyamayao,kibakuli,semeni,ntongela,nyanoko,nyaneko,sunche,kapeto,timbili,timbilo,aki,ukwa,okwechuku,uche,kabula,maige,komba,mmwamposa,lusekelo,mwaipaja,mwaipopo,bukuku,muhando,magufuli,suluhu,mwigulu,mwansasu,mkwawa,kawawa,kalimantoke.
Umeharibu hapo kwa magufuli
 
Back
Top Bottom