MSAADA: Nahitaji ushauri ni friji aina ipi bora kati hii HISENSE au BRUHM

Umepigwa ninalo la Hisense ukiacha masaa matano tu unakuta barafu .

Uzuri ni umeme wa kawaida na linapiga kazi mwaka wa 3 huu,kama unataka kugandisha tafuta deep freezer.

Kingine Hisense anakupa kitu unapendq mzee wa kucopy kaja na yale yenye wifi kama samsung.
 
Boss ni mwaka wa sita unakwenda sijanunua gesi kujaza wala usumbufu wowote linagandisha mpaka kila usiku nazima br utanikumbuka wakati ni sasa
 
BRUHUM hutajutia mwaka wa kumi hata sijui chakujaza gesi wala kugusa spana na naitumia
kwenye biashara
 
Hizo kampuni ulizotaja sijui ubora wake ila kama friji ni mpya nadhani inaweza kuishi muda mrefu bila kusumbua kuliko ya mtumba. Mimi nilipata sumsung kutoka Samsung dealers. Ina miaka saba. Bado mpya inatumia umeme kidogo sana. Ina settings inafanya kazi jinsi wewe unavyotaka.
 
BRUHUM hutajutia mwaka wa kumi hata sijui chakujaza gesi wala kugusa spana na naitumia
kwenye biashara
Binafsi nina mwaka wa 5 nilununua BRHÜM wala halina tatizo lolote na linagandisha haraka umeme inatumia kidogo sana, hiyo ni mjeruman aliyeenda kujiwekea kiwanda China.
 
Chukua WESTPOINT km huhitaji karaha
 
Katika top Level ungeuliza kati ya Samsung vs LG, ningekuambia Go for LG all days,

Katika Mid Range,
Ningekushauri Haier, Midea, Hisense, Von, Westpoint....
 
Kama utafanya tathmini kwa kuangalia Quality pamoja na Gharama, Ni bora tu uchukue fridge used!
Fridge used kuanzia kwenye ubora hadi design ni zipo vzuri sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…