Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Umepigwa ninalo la Hisense ukiacha masaa matano tu unakuta barafu .Nilifanikiwa kupata aina ya Hisense kulingana na ushaur na pesa niliokua nayo..
Kwa mujibu wa muuzaji anasema yanayotoka South Africa ni mazur kuliko China..capacity yake ni kama 210L iv
Changamoto nimeanza kuona juz hapa baada ya wife kuanza kugandisha mabarafu,aisee linachukua siku mbili hadi upate barafu ilio ngumu..sasa najiuliza sijui ni joto la hapa siku za katkat au uwezo wake tu ni mdg!!
Uzuri ni umeme wa kawaida na linapiga kazi mwaka wa 3 huu,kama unataka kugandisha tafuta deep freezer.
Kingine Hisense anakupa kitu unapendq mzee wa kucopy kaja na yale yenye wifi kama samsung.