Msaada: Najua natembea na changudoa, lakini kumuacha siwezi

Hivi sikuizi kuna mke na mume kweli kamauelewi tizama hata ndoa zenyewe.kuoa wataoa kuolewa wataolewa ila akuna mke wala mume wa MTU that is fact .ndoa zinazo dume sikuizi niza wale wanaolikubali hili
 
Kuacha malaya au chagudoa yahitaji busara sana na kadiri unavyozidi kukutana nae ndivyo unavyozidi kujihatarisha. Fanya hivi, kama ulikuwa na girlfriend hapo kabla muite aje akutembelee na mruhusu akae hata wiki moja kwako. Nenda nae out na rudi usiku, fanya hivyo huku ukijenga taswira kichwani kuwa huyo chagudoa ni hatari kwako na maisha yako ya baadae baada ya siku tatu utaanza kumuona mtu wa kawaida sana, hivyo ndivyo nilikuwa nafanya mimi nikigundua demu asiye mwaminifu. Kumbuka kuachana na huyo chagudoa hakutokufanya ulazwe hospital na ukiona huwezi kuvumilia tabia na mienendo yake hamia sehemu nyingine. Mkwara wa kwamba atajiua ashakuona una vinasaba vya Ubushokeshoke hivi.
 
Wote ni machangu endeleeni hainaga shida
 
akafanikiwa kulitumia dushe langu kama kipaza sauti na kufanikisha kuniliza chozi moja la fasta.

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Kama hapo unapoishi umepanga, basi hama itasaidia kumsahau
 
Ukiona kumwacha ngumu ujue ukimwi upo mbali,ukiweza kumwacha tu ujue umekaribia
 


!
!
Aiseee....anaitwa nani maana mh
 


!
!
Aiseee....anaitwa nani maana mh kuna mdada namchukyaga na gari sasa asihe akawa ndio huyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…