Msaada: Najua natembea na changudoa, lakini kumuacha siwezi

Nahisi Kichwa changu Kizito leo sijakuelewa
Penzi langu na huyu dada wa JF limeanzia pale nilipomshirikisha katika suala hili. Yeye ndiye alikuwa akinipa moyo na kunishauri so licha ya mawasiliano na upendo wetu still anajua nampenda huyu changu kuliko yeye lakini bado yupo namimi katika kunisapoti. Nadhani nimeeleweka
 
Kuhusu CHRISTINA wangu huko sina mashaka. Licha ya Kupatwa na hili janga lakini still natimiza wajibu wangu kama baba.

Kuhusu Condoms hilo sio la kuuliza MKUU
Hapo sawa. Kula vitu vyako kwa raha zote. Unajua wakati mwingine hawa viumbe wanaweza kuwa wanakupa mambo adimu japo kihadhi hawapaswi kuwa na wewe hadi watu wanasema umelogwa. Piga vitu huwezi kupata mahali pengine hivyo
 
Mkuu huyu mtu
 
Moyo huficha mengi nimemshirikisha katika
hili na ni mmoja kati ya wanaonipigania. na hili ndilo chanzo cha mimi na yeye kuwa wapenzi huyu dada wa JF ndio maana sijaficha kitu
Valentina kakuuliza swali zuri sana na la msingi, bahati mbaya sana kiongozi ibra87 umejibu tofauti sana na swali la bidada.

Kuwa straight, si una gf humu mjengoni?
 
Penzi langu na huyu dada wa JF limeanzia pale nilipomshirikisha katika suala hili. Yeye ndiye alikuwa akinipa moyo na kunishauri so licha ya mawasiliano na upendo wetu still anajua nampenda huyu changu kuliko yeye lakini bado yupo namimi katika kunisapoti. Nadhani nimeeleweka
Eli79
 
="Jerrymsigwa, post: 17503352, member: 89690"]Mbona km chai[/QUOTE]
Tafuta maandazi kama unaona hii ni chai.
 
Back
Top Bottom