Msaada: Najua natembea na changudoa, lakini kumuacha siwezi

Msaada: Najua natembea na changudoa, lakini kumuacha siwezi

Hongera sana..
Moyo wako ni zaid ya moyo machine...

Ila kumbuka kutumia kinga ndugu yangu
 
akafanikiwa kulitumia dushe langu kama kipaza sauti na kufanikisha kuniliza chozi moja la fasta.

😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
hiki michangia kunifanya niwe ndondocha, najua anabadilisha kama nguo lakini maamuzi ni magumu
 
Ibra si ulisema unamtu humu Jf na uko nae kimahusiano? Tena unajivunia kua nae! Kulikoni sasa?
Moyo huficha mengi nimemshirikisha katika
hili na ni mmoja kati ya wanaonipigania. na hili ndilo chanzo cha mimi na yeye kuwa wapenzi huyu dada wa JF ndio maana sijaficha kitu
 
Kuacha malaya au chagudoa yahitaji busara sana na kadiri unavyozidi kukutana nae ndivyo unavyozidi kujihatarisha. Fanya hivi, kama ulikuwa na girlfriend hapo kabla muite aje akutembelee na mruhusu akae hata wiki moja kwako. Nenda nae out na rudi usiku, fanya hivyo huku ukijenga taswira kichwani kuwa huyo chagudoa ni hatari kwako na maisha yako ya baadae baada ya siku tatu utaanza kumuona mtu wa kawaida sana, hivyo ndivyo nilikuwa nafanya mimi nikigundua demu asiye mwaminifu. Kumbuka kuachana na huyo chagudoa hakutokufanya ulazwe hospital na ukiona huwezi kuvumilia tabia na mienendo yake hamia sehemu nyingine. Mkwara wa kwamba atajiua ashakuona una vinasaba vya Ubushokeshoke hivi.
Ubarikiwe mkuu
 
Umetumia washkaji na watoto wa mwenye nyumba kumngoa kahaba?,siungetangaza dau tu.pole sana kaka
 
Umetumia washkaji na watoto wa mwenye nyumba kumngoa kahaba?,siungetangaza dau tu.pole sana kaka
mwanzo aliificha tabia yake, ingawa nilimgundua kwa siku ya kwanza tu kuongea naye
 
Akikupiga ngumi ya sikio na wewe mpige ngumi ya macho, akikuuliza unasikiaje na wewe muulize unaonaje. Ndugu na wewe tafuta demu mwingine tena awe changu full stop.
 
Moyo huficha mengi nimemshirikisha katika
hili na ni mmoja kati ya wanaonipigania. na hili ndilo chanzo cha mimi na yeye kuwa wapenzi huyu dada wa JF ndio maana sijaficha kitu
Nahisi Kichwa changu Kizito leo sijakuelewa
 
Back
Top Bottom