ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Huyo wa jf mnapendana sana, still unampenda huyo mwingine zaidi ya wa jf. Inakuwaje unapenda watu wawili kwa wakati mmoja? Je, una uhusiano wowote na huyo wa jf (hasa kingono)?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo wa jf mnapendana sana, still unampenda huyo mwingine zaidi ya wa jf. Inakuwaje unapenda watu wawili kwa wakati mmoja? Je, una uhusiano wowote na huyo wa jf (hasa kingono)?
Kichwa changu leo kinaenda slow kuelewa bana aise
Hujssimama kwenye dini usingefanya uzinifu.hata hivyo dini na uchafu havikai pamoja kama vipi fans maamuz sahihisijawahi kutumia wala kuomba nimesimamq kwenye dini mkuu ingawa nafanya uzinifu
Iliwahi kunitokea zamani sana mkuu cha kufanya hapo kuwa na moyo mkuu mpe mapenzi yako yote na kuwa mwanaume kwake usimkaripie mwambie anakuumiza na anavyofanya,mwambie unataka uwe mwanamme wa mwisho kwake halafu ukiona anashushwa usijifiche tokeza akuone atapunguza na atakupenda zaidi ya hapo mwisho wa siku anaacha,na kung'ang'ana na wewe, hakuna mwanamke asiependa akiona upendo na akitimiziwa anachotaka.
Hii inaweza kufanya kaz vizur eee?Iliwahi kunitokea zamani sana mkuu cha kufanya hapo kuwa na moyo mkuu mpe mapenzi yako yote na kuwa mwanaume kwake usimkaripie mwambie anakuumiza na anavyofanya,mwambie unataka uwe mwanamme wa mwisho kwake halafu ukiona anashushwa usijifiche tokeza akuone atapunguza na atakupenda zaidi ya hapo mwisho wa siku anaacha,na kung'ang'ana na wewe, hakuna mwanamke asiependa akiona upendo na akitimiziwa anachotaka.
Mmhhh... Mwenzangu tuna task ya kumuombea mkulu WA injii hii
Na wewe tena[emoji15] [emoji15]