Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuhusu CHRISTINA wangu huko sina mashaka. Licha ya Kupatwa na hili janga lakini still natimiza wajibu wangu kama baba.
Kuhusu Condoms hilo sio la kuuliza MKUU
Duh una umri gani? Tuanzie hapo! Pia una shughuli ya kufanya? Huo muda ambao yeye anarudishwa nyumbani wewe huna mahali pa kwenda! Hebu nakushauri tafuta shughuli ya kufanya usijitafutie Bp bure!nimekaa kimya kutwa nzima nikitegemea kuombwa msamaha lakini ameamua nae kukaa kimya
..Siyo Jenerali Galadudu Wewe,..Wasalaam wakuu,
Nikama miezi mitatu imepita tokea nilipoanzisha mahusiano na binti mmoja hivi mwenyeji wa mkoani Kilimanjaro.
Ni binti mzuri wa sura, mweupe wa rangi na mwenye macho sahihi ya kike. Uhusiano wangu na binti ulianza pale alipohamia kwenye nyumba ninayoishi mimi akitokea maeneo ya Mji Mwema Kigamboni. Mara ya kwanza kukutanisha macho yetu nilihisi Moyo wangu ukiniambia kitu. Moyo wangu ulizungumza tamaa, tamaa juu ya umbo la mtoto yule wa kichaga. Nikatamani kumpata na kumfanya wangu kwa kipindi kirefu kwa kuwa alikuwa anavutia sana.
Kwa kuwatumia washkaji hasa mtoto wa mwenye nyumba yangu nikafanikiwa kumpata mtoto huyu na kitu ambacho kilinivutia ni pale tulipoongea siku ya kwanza tukiwa wawili akafanikiwa kulitumia dushe langu kama kipaza sauti na kufanikisha kuniliza chozi moja la fasta.
Baada ya tukio hilo mapenzi yakazaliwa huku tukipeana na wakati mwingine akijakuchukuliwa na magari kisha kurudishwa asubuhi. Niliendelea kuvumilia hali ile kwa kuwa nilijiwekea kwamba napiga kwa muda kisha nasepa lakini sasa naona nimedata naye amenasa. Kumuacha nashindwa na yeye kuacha UCHANGUDOA hawezi. Kuna wakati alikuwa akitishia kujiua iwapo angenifumania na kikubwa anasema ameshafanya matukio makubwa ya kucharanga viwembe wanawake wenzie.
Hilo linanitisha na kunisumbua ni kweli ni mzuri, ni kweli ni fundi kiasi chake. Lakini bado ni muuzaji na kibaya zaidi najua kuwa anajiuza. Jana nilijaribu kuongea naye lakini mwisho wa siku akaangukia kwenye kunipa penzi. Nilijikuta nikisahau hata kuendelea kumuuliza. Tuliagana vizuri baada ya mechi na kuniambia kuwa anakwenda kulala, lakini cha ajabu nimeamka asubuhi namuona akishushwa na gari akiwa na mizigo. Moyo unaniuma, nimeamua kumnunia lakini siwezi kwa kuwa nampenda sana.
MSAADA KATIKA HILI
Shemu ni Rahisi kumtia kofi MP wa jeshi kuliko mimi kumuacha huyu. Ingawa sijaongea naye kutwa nzima lakini hapa nilipo nahisi kuungua
Hahahaaaa ni service providermkuu badili mawazo yako Huyo sio changudoa ni mtoa huduma kwa wagonjwa wenzako..tuishi kwa kupendana
Duh pole sana lv n kitu kngne
Au kujirusha bahariniHama nyumba kimya kimya tu kwa sababu bila hivyo unaweza anzisha vurugu, kunywa sumu nk. Pole sana