Msaada: Najua natembea na changudoa, lakini kumuacha siwezi

Wewe ni mwanaume wa ajabu sana.Si kawaida mwanaume kujua kwamba mwanamke ana mwanaume mwingine na bado akaendelea naye, hata kama si changudoa,sembuse changudoa. Hivi huoni kinyaa. Inashangaza sana.Huogopi ukimwi, maana uko nje nje.Acha ujinga wewe,tafuta mke uoe,vinginevyo utakufa na ukimwi.Wazuri wako wengi.
 
Mhh! hii sasa Bongo Movie
 
Wanaume wanaume... Hahahaaha bora cc mama yetu kipofu ila nahs wenu ana kengeza
 
Kujiendekeza tu mkuu,,watu wanawaacha mama zao walioanza nao from zero sembuse ww jitu umekutana nalo ukubwani tena changudoa? Na siku ukiugua ukimwi litakukimbia...nakushauri huo muda na pesa unazopoteza tumia kuwapenda ndugu zako wa damu maana ukiumwa ukimwi ndo wakukubadilisha nepi na kukutia moyo. .....malaya/ changu haolewi utasaga lami mjini hapa
 
Hii thread ya kitambo nyie mnanichana leo
 


Nina amini kuna uchawi, kama mtu haamini aje asome hii habari, ni mtu gani timamu anaiyona hatari halafu anaomba ushauri badala ya kuikimbia? Mrudie Mungu hayo matunguli yakutoke
 
siku zote huwa nasimama sana katika kile ninachokiamini lakini kwahuyu nimekuwa mpuuzi.
Wengine wanatumia madawa ndugu yangu, kulikuwa na demu huku mwananyamala, ilikuwa no kosa kwa MTU yeyote kumnyonya ulimi, (denda) hata nia yako ilikuwa no kupiga tu Mara moja na kuondoka, lakini siku hiyo ukikosea tu kumla denda basi hutachomoka hapo.
 
Baada ya miezi Sita uende ukapime Afya yako. Na kama hautakuwa umeambukizwa UKIMWI basi Ukimwi utakuwa ni hadithi ya kutungwa tu katika duniani, yaani ukimwi utakuwa haupogo duniani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…