Basi hapo ndio pa kuanzia, usithubutu kumpigia, badala yake anza kutafuta namna ya kuhama nyu.ba hiyo uede asikokujuanimekaa kimya kutwa nzima nikitegemea kuombwa msamaha lakini ameamua nae kukaa kimya
Unaogopa watu kukuona mkuu? Hii ni vita ya moyo na akili yako na hutakiwi kuangalia maoni ya watu wengine kwani sasa wanakuonaje wakati wanajua dem wako changu? Fanya maamuzi magumu tu.huo ndio mpango ambao niliona unafaa, lakini nitaondokane bila watu kiniona?
Kwani tayari ulishapanga kumuoa baada ya kuwa nae kingono?kaka ni kwamba huyu binti amepanga ninapishi. Harafu ni mzuri so sikutaka kuchelewa na wala sikuwa na mpango wa kuoa. Nilitaka kufanya kwa kipindi then nisepe.
Najua wengi mpo katika mahusiano ambayo yametawaliwa na chuki, usaliti, dharau na hata manyanyaso. Wengi mpo katika muhisiano ambayo kamwe hakuna faraja wala upendo wa dhati. wanawake wanaishia kupigwa, kudhalilishwa na kufanyiwa vitendo ambavyo huwezi kuvisema hadharani.
Lakini licha ya kufanyiwa hayo yote bado wametulia, bado wanateseka ndani kwa ndani, bado wanavumilia na kuamini ipo sikuwataishi katika amani na utulivu. wapo wanaoletewa wanawake majumbani lakini bado waliendelea kuvumilia. Wapo wanaume wanaonyanyaswa na kunyimwa unyumba, wapo wanaume wanaofanywa mazezeta na wake zao majumbani mwao lakini still wanavumilia. Hivi utaishi katika hili mpaka lini? Utaishi katika kifungo hiki mpaka lini?
Tuseme bila uliyenae huwezi kuishi? Kwanini unalikubali hili ndani ya moyo? Simama wewe kama wewe huku ukijiamini kuwa unaweza. Kuanza moja sio ujinga. Piga hatua na songa mbele hili litakufanya utoke ndani ya kifungo kisicho cha lazima
Ahsanteni sana
Ibra87
nipo makini katika kujilinda. Lakini hainiondolei ukweli kwamba nampenda Huyu bintiNikikuaga nashangaa kusikia watu wanajiandalia makaburi yao nikawa nashangaa kweli!? Kumbe ndo kwa style hii? Mkuu andika mirathi kabisa ndugu zako wasije pata tabu badae..... Rip in advance
Teh teh....Mganga hajigangi mkuu japo mtoa mada anaogopa kusema kinacho mchanganya ni hii namba tata 0713 anayotumiaHebu fuata huu ushauri wako....
Hongera kwa mapenzi ya dhati na upofu ulo kithiri. Mara zingine uwe una msindikiza kabisa kwa usalama wake... Akipata mteja we subiria mlangoni baada ya kazi mrudishe nyumbani salamanipo makini katika kujilinda. Lakini hainiondolei ukweli kwamba nampenda Huyu binti
Mateso yote ya nn mkuu. Huyu mtu ana moyo mgumu kiasi gani asiweze kuona! Mtu anamuona kabisa bado eti anampenda? Muacheni afe na ujinga wake bana... Mapenzi sio haya aisee aseme lingine... Wengine tuki fumania msg tu network zinakata sembuse ili na kashuudia mwenyeweBro kama unafanya kazi, omba likizo uende mkoani ukae mbali nae kidogo bila mawasiliano, utasahau taratibu wanasema( OUT OF SIGHT OUT OF MIND) na kumbuka watu wengi wanaangukia vitu kama hivo na wala usijilaumu, LOVE IS BLIND huenda anadhani ww unamapenzi y a kweli kwake ndo maana kakupenda, ww toka nenda mbali nae bila mawasiliano na ukianza kuchat nae huko unakoenda utarudi bila kujua hata ukiwa Rwanda, utaletwa na kitu wataalam huita MAHABA NIUE.
Mkuu umewahi kuongea naye juu kuishi kama mume na mke?sijawahi kutumia wala kuomba nimesimamq kwenye dini mkuu ingawa nafanya uzinifu