Msaada: Najua natembea na changudoa, lakini kumuacha siwezi

Msaada: Najua natembea na changudoa, lakini kumuacha siwezi

nimekaa kimya kutwa nzima nikitegemea kuombwa msamaha lakini ameamua nae kukaa kimya
Basi hapo ndio pa kuanzia, usithubutu kumpigia, badala yake anza kutafuta namna ya kuhama nyu.ba hiyo uede asikokujua
 
huo ndio mpango ambao niliona unafaa, lakini nitaondokane bila watu kiniona?
Unaogopa watu kukuona mkuu? Hii ni vita ya moyo na akili yako na hutakiwi kuangalia maoni ya watu wengine kwani sasa wanakuonaje wakati wanajua dem wako changu? Fanya maamuzi magumu tu.
 
kaka ni kwamba huyu binti amepanga ninapishi. Harafu ni mzuri so sikutaka kuchelewa na wala sikuwa na mpango wa kuoa. Nilitaka kufanya kwa kipindi then nisepe.
Kwani tayari ulishapanga kumuoa baada ya kuwa nae kingono?
 
Hebu fuata huu ushauri wako....



Najua wengi mpo katika mahusiano ambayo yametawaliwa na chuki, usaliti, dharau na hata manyanyaso. Wengi mpo katika muhisiano ambayo kamwe hakuna faraja wala upendo wa dhati. wanawake wanaishia kupigwa, kudhalilishwa na kufanyiwa vitendo ambavyo huwezi kuvisema hadharani.

Lakini licha ya kufanyiwa hayo yote bado wametulia, bado wanateseka ndani kwa ndani, bado wanavumilia na kuamini ipo sikuwataishi katika amani na utulivu. wapo wanaoletewa wanawake majumbani lakini bado waliendelea kuvumilia. Wapo wanaume wanaonyanyaswa na kunyimwa unyumba, wapo wanaume wanaofanywa mazezeta na wake zao majumbani mwao lakini still wanavumilia. Hivi utaishi katika hili mpaka lini? Utaishi katika kifungo hiki mpaka lini?

Tuseme bila uliyenae huwezi kuishi? Kwanini unalikubali hili ndani ya moyo? Simama wewe kama wewe huku ukijiamini kuwa unaweza. Kuanza moja sio ujinga. Piga hatua na songa mbele hili litakufanya utoke ndani ya kifungo kisicho cha lazima

Ahsanteni sana

Ibra87
 
Nikikuaga nashangaa kusikia watu wanajiandalia makaburi yao nikawa nashangaa kweli!? Kumbe ndo kwa style hii? Mkuu andika mirathi kabisa ndugu zako wasije pata tabu badae..... Rip in advance
nipo makini katika kujilinda. Lakini hainiondolei ukweli kwamba nampenda Huyu binti
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kama ni changudoa haina shida maana inavyoonekana anajiuza ili mkono uende kinywani. Cha msingi oaneni ili msaidiane maisha.
 
Drug, sex, money are triple threats ambazo zinaweza mfanya good man kwenda bad na kufikiri vibaya tofauti ambavyo angefikiri akiwa hayupo influenced na vitu hivyo. Ogopa sana hivi vitu, na ndo vitu vinavyoiangamiza dunia kwa kiwango kikubwa sana vikiacha fame kuchukua percentage ndogo katika uangamizaji huo.

Hicho ulichosema ni jambo la kawaida kwa vijana wa sasa hivi wengi. Wenyewe wanawaita ving'asti kwa huku uswazi tunapoishi. Unakuta kijana wa kiume anamsindikiza mpaka road msichana wake aende kujiuza. Wengine wanaenda mbali zaidi wanakaa wanawasubiria hao wasichana wao mpaka wanapomaliza biashara yao na wanarudi wote nyumbani.

Hichi nadhani nawe ndipo unapoelekea ama ndipo anapotaka kukupeleka. Ushauri wa kiutu uzima, tafuta siku ukae naye huyo dada. Isiwe kwako wala kwake maana mnaweza ishia kut**na badala ya kuongea. Ongea naye A to Z kuhusu maisha yake, msikilize nimeona umeandika kuwa anakupenda, if anakupenda kweli for real atakwambia yake yote na sababu ya yeye kufanya hivyo.

Kama na wewe unampenda, baada ya kusikiliza maneno yake utaamua. Kama utaridhika uamuzi unaweza kuwa kumchukua na kuishi naye kama una uwezo wa kumuhudumi (if not usijaribu) na process zingine zikafuata. Though hapa utakuwa unafanya biggest gamble of your life If hujaridhia na utakachosikia toka kwake achana naye for good. Ikiwezekana hama kabisa unapoishi maana ushapewa warning kuwa akikukuta na mwanamke atamchana na viwembe, kitu ambacho hakishindikani. Na hutoweza ishi kwa amani na mwanamke mwingine katika mazingira hayo.

Warning :
Usijaribu kuoa kwa sababu tuu the girl fukcs you good. Lazima kuwe na sifa nyingine za mke, kwani huoi sex worker, unaoa mke probably mama wa watoto wako. Maisha ya mke na mme yanakwenda zaidi ya kut**na.

Pia dude, one more thing, there is there is this jamaa wa kuitwa UKIMWI out here, play safe.
 
Bro kama unafanya kazi, omba likizo uende mkoani ukae mbali nae kidogo bila mawasiliano, utasahau taratibu wanasema( OUT OF SIGHT OUT OF MIND) na kumbuka watu wengi wanaangukia vitu kama hivo na wala usijilaumu, LOVE IS BLIND huenda anadhani ww unamapenzi y a kweli kwake ndo maana kakupenda, ww toka nenda mbali nae bila mawasiliano na ukianza kuchat nae huko unakoenda utarudi bila kujua hata ukiwa Rwanda, utaletwa na kitu wataalam huita MAHABA NIUE.
 
nipo makini katika kujilinda. Lakini hainiondolei ukweli kwamba nampenda Huyu binti
Hongera kwa mapenzi ya dhati na upofu ulo kithiri. Mara zingine uwe una msindikiza kabisa kwa usalama wake... Akipata mteja we subiria mlangoni baada ya kazi mrudishe nyumbani salama
 
Bro kama unafanya kazi, omba likizo uende mkoani ukae mbali nae kidogo bila mawasiliano, utasahau taratibu wanasema( OUT OF SIGHT OUT OF MIND) na kumbuka watu wengi wanaangukia vitu kama hivo na wala usijilaumu, LOVE IS BLIND huenda anadhani ww unamapenzi y a kweli kwake ndo maana kakupenda, ww toka nenda mbali nae bila mawasiliano na ukianza kuchat nae huko unakoenda utarudi bila kujua hata ukiwa Rwanda, utaletwa na kitu wataalam huita MAHABA NIUE.
Mateso yote ya nn mkuu. Huyu mtu ana moyo mgumu kiasi gani asiweze kuona! Mtu anamuona kabisa bado eti anampenda? Muacheni afe na ujinga wake bana... Mapenzi sio haya aisee aseme lingine... Wengine tuki fumania msg tu network zinakata sembuse ili na kashuudia mwenyewe
 
mkuu badili mawazo yako Huyo sio changudoa ni mtoa huduma kwa wagonjwa wenzako..tuishi kwa kupendana
 
Back
Top Bottom