Msaada: Najua natembea na changudoa, lakini kumuacha siwezi

Habar bila pich hainog mkuu tupia moja tumuone
 
Endelea mkuu,hakuna tatizo ila akikuambukiza shoti, zingatia diet na dozi tu. Ni hayo machache tu! Asante!
 
Ubarikiwe mkuu katika kushauri
 
Kapime kwanza ngoma! Kama huna endelea mpaka ukipata uje uombe tena ushauri!
 
Mlete tumfanyie tohara (tumkekete)... Tukimkata ki antena sex drive itampungua...
 
Na akinywa sumu kwaajiri yako unaenda jela miaka serasini kwa kuua kwakupania
 
Tafuta kazi ya kufanya, pia fanya ibada mara kwa mara.
 
nimekaa kimya kutwa nzima nikitegemea kuombwa msamaha lakini ameamua nae kukaa kimya
Mh haoni thamani yako uende ubaki sawa tu anao wengi tena wenye hela. Jaribu kuhama nyumba
 
Fanya zali kupiga dem mwingine uone ma tokeo.pia hama unapoishi kakae sehem tofauti iyasaidia kukusahaulisha
 
Ndio tatizo la kumingle Na watoto wazuri kwa nadra, siku ukimpata anakugeuza ndondocha. Ubaa ubaa ubarikiweee
 
Unajiendekeza tu, mm nililiepuka hili nakumbuka, liliwah kunitokea
 
Pole sana mkuu...cha msingi ni kuhama hiyo nyumba...tafuta nyumba ya mbali na hapo unapoishi kwa sasa kisha siku ya kuhama unamvizia akitoka na jamaa zake we unahamisha vitu vyako ili asije akakufatilia unakokwenda kuishi kwa kuepuka usumbufu

Unampenda ndio lakini hakufai kwa maisha yako ya baadae huyo...ni ushauri tu lakini mtendaji mkuu ni ww mwenyewe hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…