Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shem Mungu akusimamie kwa hilo ufikie maamuzi mazuri....naamini linawezekana wewe mwenyewe ukikubali ukwelini kweli shem na hilo ndilo linanifanya nilitafutie ufumbuzi
alichokiandika Badili tabia nilikiandika mwenyewe, Sasa limenikuta mimi nashindwa kuamuaHahaha shemu hakuna namna jinasue.....kama ulishafiwa na umpendaye inavyouma baadae unaona sawa japo ngumu kuzoea .....msome BADILI TABIA
Unataka kupata huduma........mwenzio yupo kwenye majonzi ujueHabar bila pich hainog mkuu tupia moja tumuone
Ubarikiwe mkuu katika kushauriWakati unaenda kukutana naye, tambua kuwa every the so called changudoa has her cover story. Yawezekana hiyo ya kupigwa na mmewe ni cover story yake. Wengine cover stories zao huwa kama vile wazazi wangu walikufa, kwetu ni maskini nk. Kutambua hilo you will need kuwa zaidi ya makini wakati wa maelezo.
Hilo lako alilokwambia, linaibua maswali mengine, why apigwe na mmewe, alipigwa kwa nini (yawezekana sababu ya uchangudoa ), na why akimbie kwa maana alikuambia aliolewa inamaana hakukuwa na wasuluhishi.? Wasuluhishi walisuluhishaje ( au hakufuata ushauri wa wasuluhishi.?), mme wake akija mbeleni akadai huyo ni mkewe halali utafanyaje.?
Hayo ni baadhi ya maswali ya kujiuliza kabla ya kwenda kumface na hata baada ya kumface. As i told you only ask yourself such questions if and only if una long plan naye. Otherwise chapa ilale.
Tafuta kazi ya kufanya, pia fanya ibada mara kwa mara.Wasalaam
wakuu
Nikama miezi mitatu imepita tokea nilipoanzisha mahusiano na binti mmoja hivi mwenyeji wa mkoani Kilimanjaro.
ni binti mzuri wa sura, mweupe wa rangi na mwenye macho sahihi ya kike. Uhusiano wangu na binti ulianza pale alipohamia kwenye nyumba ninayoishi mimi akitokea maeneo ya Mji mwema Kigamboni. Mara ya kwanza kukutanisha macho yetu nilihisi Moyo wangu ukiniambia kitu. Moyo wangu ulizungumza tamaa, Tamaa juu ya umbo la mtoto yule wa Kichaga. Nikatamani kumpata na kumfanya wangu kwa kipindi kirefu kwa kuwa alikuwa anavutia sana.
Kwa kuwatumia washkaji hasa mtoto wa mwenye nyumba yangu nikafanikiwa kumpata mtoto huyu na kitu ambacho kilinivutia ni pale tulipoongea siku ya kwanza tukiwa wawili akafanikiwa kulitumia dushe langu kama kipaza sauti na kufanikisha kuniliza chozi moja la fasta.
Baada ya tukio hilo mapenzi yakazaliwa huku tukipeana na wakati mwingine akijakuchukuliwa na magari kisha kurudishwa asubuhi. Niliendelea kuvumilia hali ile kwa kuwa nilijiwekea kwamba napiga kwa muda kisha nasepa lakini sasa naona nimedata naye amenasa. Kumuacha nashindwa
na yeye kuacha UCHANGUDOA hawezi. Kuna wakati alikuwa akitishia kujiua iwapo angenifumania na kikubwa anasema ameshafanya matukio makubwa ya kucharanga viwembe wanawake wenzie.
hilo linanitisha na kunisumbua. ni kweli ni mzuri, ni kweli ni fundi kiasi chake. Lakini bado ni muuzaji na kibaya zaidi najua kuwa anajiuza. Jana nilijaribu kuongea naye lakini mwisho wa siku akaangukia kwenye kunipa penzi. Nilijikuta nikisahau hata kuendelea kumuuliza. Tuliagana vizuri baada ya mechi na kuniambia kuwa anakwenda kulala, Lakini cha ajabu Nimeamka asubuhi namuona akishushwa na gari akiwa na mizigo. Moyo Unaniuma, nimeamua kumnunia lakini siwezi kwa kuwa Nampenda sana.
MSAADA KATIKA HILI
Mh haoni thamani yako uende ubaki sawa tu anao wengi tena wenye hela. Jaribu kuhama nyumbanimekaa kimya kutwa nzima nikitegemea kuombwa msamaha lakini ameamua nae kukaa kimya