Msaada: Najua natembea na changudoa, lakini kumuacha siwezi

Msaada: Najua natembea na changudoa, lakini kumuacha siwezi

nitakaribia lakini nadhani kuna kitu natakiwa kukifanya. Bado tumechuniana kabisa na hiki kitendo kikifika wiki nitakuwa nimeshaachana na itakuwa rahisi kuhama pale nyumbani

Jiepushe kuonana naye ......Wish you lucky shem
 
Duh JF ni kiboko.BADILI TABIA umeamua kumkumbusha Kwa maneno yake mazuri.
Lakini sijui Kama madocta wanajitibu.
Asante mkuu
siku zote huwa nasimama sana katika kile ninachokiamini lakini kwahuyu nimekuwa mpuuzi.
 
siku zote huwa nasimama sana katika kile ninachokiamini lakini kwahuyu nimekuwa mpuuzi.

Ibra87 bure Au rahisi huwa ghali sana.Ulimpata kirahisi Matokeo ndio majuto.Ibra87 Mahusiano Na mpagaji mwenza NI sawa kuwa Na mahusiano Ktk ofisi moja sio mazuri Kwa afya yako.
Nakutakia kila la kheri mkuu
 
Drug, sex, money are triple threats ambazo zinaweza mfanya good man kwenda bad na kufikiri vibaya tofauti ambavyo angefikiri akiwa hayupo influenced na vitu hivyo. Ogopa sana hivi vitu, na ndo vitu vinavyoiangamiza dunia kwa kiwango kikubwa sana vikiacha fame kuchukua percentage ndogo katika uangamizaji huo.

Hicho ulichosema ni jambo la kawaida kwa vijana wa sasa hivi wengi. Wenyewe wanawaita ving'asti kwa huku uswazi tunapoishi. Unakuta kijana wa kiume anamsindikiza mpaka road msichana wake aende kujiuza. Wengine wanaenda mbali zaidi wanakaa wanawasubiria hao wasichana wao mpaka wanapomaliza biashara yao na wanarudi wote nyumbani.

Hichi nadhani nawe ndipo unapoelekea ama ndipo anapotaka kukupeleka. Ushauri wa kiutu uzima, tafuta siku ukae naye huyo dada. Isiwe kwako wala kwake maana mnaweza ishia kut**na badala ya kuongea. Ongea naye A to Z kuhusu maisha yake, msikilize nimeona umeandika kuwa anakupenda, if anakupenda kweli for real atakwambia yake yote na sababu ya yeye kufanya hivyo.

Kama na wewe unampenda, baada ya kusikiliza maneno yake utaamua. Kama utaridhika uamuzi unaweza kuwa kumchukua na kuishi naye kama una uwezo wa kumuhudumi (if not usijaribu) na process zingine zikafuata. Though hapa utakuwa unafanya biggest gamble of your life If hujaridhia na utakachosikia toka kwake achana naye for good. Ikiwezekana hama kabisa unapoishi maana ushapewa warning kuwa akikukuta na mwanamke atamchana na viwembe, kitu ambacho hakishindikani. Na hutoweza ishi kwa amani na mwanamke mwingine katika mazingira hayo.

Warning :
Usijaribu kuoa kwa sababu tuu the girl fukcs you good. Lazima kuwe na sifa nyingine za mke, kwani huoi sex worker, unaoa mke probably mama wa watoto wako. Maisha ya mke na mme yanakwenda zaidi ya kut**na.

Pia dude, one more thing, there is there is this jamaa wa kuitwa UKIMWI out here, play safe.
Mkuu well said ila mimi na msihi aachane kabisa na huyu demu maana Hana haja ya kuongeanaye, anaweza kumsababishia matatizo mkubwa, angalia ujasili aliokuwanao mpaka anadiliki kushushwa kwenye ndinga na wewe ukiona, na kasha kutahadharisha kwamba atakuchalanga viwembe, atashindwa kukualikia Jamaa wakufanyie 0713...?.Achana kabisa jaribu kuchukua maamuzi magumu mkuu, wewe ni mwanaume.
 
Ibra87 bure Au rahisi huwa ghali sana.Ulimpata kirahisi Matokeo ndio majuto.Ibra87 Mahusiano Na mpagaji mwenza NI sawa kuwa Na mahusiano Ktk ofisi moja sio mazuri Kwa afya yako.
Nakutakia kila la kheri mkuu
mwanzo sikuliona wala kulifikiria hilo, lakini sasa ndio nayaona madhara
 
Mkuu well said ila mimi na msihi aachane kabisa na huyu demu maana Hana haja ya kuongeanaye, anaweza kumsababishia matatizo mkubwa, angalia ujasili aliokuwanao mpaka anadiliki kushushwa kwenye ndinga na wewe ukiona, na kasha kutahadharisha kwamba atakuchalanga viwembe, atashindwa kukualikia Jamaa wakufanyie 0713...?.Achana kabisa jaribu kuchukua maamuzi magumu mkuu, wewe ni mwanaume.
mkuu napambana kumuacha ingawa kuna ugumu lakini MUNGU atanisaidia
 
TE="Complex, post: 17481784, member: 132503"]Drug, sex, money are triple threats ambazo zinaweza mfanya good man kwenda bad na kufikiri vibaya tofauti ambavyo angefikiri akiwa hayupo influenced na vitu hivyo. Ogopa sana hivi vitu, na ndo vitu vinavyoiangamiza dunia kwa kiwango kikubwa sana vikiacha fame kuchukua percentage ndogo katika uangamizaji huo.

Hicho ulichosema ni jambo la kawaida kwa vijana wa sasa hivi wengi. Wenyewe wanawaita ving'asti kwa huku uswazi tunapoishi. Unakuta kijana wa kiume anamsindikiza mpaka road msichana wake aende kujiuza. Wengine wanaenda mbali zaidi wanakaa wanawasubiria hao wasichana wao mpaka wanapomaliza biashara yao na wanarudi wote nyumbani.

Hichi nadhani nawe ndipo unapoelekea ama ndipo anapotaka kukupeleka. Ushauri wa kiutu uzima, tafuta siku ukae naye huyo dada. Isiwe kwako wala kwake maana mnaweza ishia kut**na badala ya kuongea. Ongea naye A to Z kuhusu maisha yake, msikilize nimeona umeandika kuwa anakupenda, if anakupenda kweli for real atakwambia yake yote na sababu ya yeye kufanya hivyo.

Kama na wewe unampenda, baada ya kusikiliza maneno yake utaamua. Kama utaridhika uamuzi unaweza kuwa kumchukua na kuishi naye kama una uwezo wa kumuhudumi (if not usijaribu) na process zingine zikafuata. Though hapa utakuwa unafanya biggest gamble of your life If hujaridhia na utakachosikia toka kwake achana naye for good. Ikiwezekana hama kabisa unapoishi maana ushapewa warning kuwa akikukuta na mwanamke atamchana na viwembe, kitu ambacho hakishindikani. Na hutoweza ishi kwa amani na mwanamke mwingine katika mazingira hayo.

Warning :
Usijaribu kuoa kwa sababu tuu the girl fukcs you good. Lazima kuwe na sifa nyingine za mke, kwani huoi sex worker, unaoa mke probably mama wa watoto wako. Maisha ya mke na mme yanakwenda zaidi ya kut**na.

Pia dude, one more thing, there is there is this jamaa wa kuitwa UKIMWI out here, play safe.[/QUOTE]
Mkuu we ni great thinker wa ukwel

Thanks mi mwenyewe nmejifunza kitu
 
Weka picha tumuone kama kweli mzuri isije ukawa wewe ni mshamba tu
 
Fabricated!

Hata hivyo kama unampenda muoe kabisa kwani changudoa si mwanamke kama walivyo wengine tu.
 
Weka picha tumuone kama kweli mzuri isije ukawa wewe ni mshamba tu
nikifanikiwa kumuacha nitafanya hivyo, lakini nahofia asijekuwa dada ama mkeo ukapata presha
 
Wasalaam
wakuu

Nikama miezi mitatu imepita tokea nilipoanzisha mahusiano na binti mmoja hivi mwenyeji wa mkoani Kilimanjaro.

ni binti mzuri wa sura, mweupe wa rangi na mwenye macho sahihi ya kike. Uhusiano wangu na binti ulianza pale alipohamia kwenye nyumba ninayoishi mimi akitokea maeneo ya Mji mwema Kigamboni. Mara ya kwanza kukutanisha macho yetu nilihisi Moyo wangu ukiniambia kitu. Moyo wangu ulizungumza tamaa, Tamaa juu ya umbo la mtoto yule wa Kichaga. Nikatamani kumpata na kumfanya wangu kwa kipindi kirefu kwa kuwa alikuwa anavutia sana.

Kwa kuwatumia washkaji hasa mtoto wa mwenye nyumba yangu nikafanikiwa kumpata mtoto huyu na kitu ambacho kilinivutia ni pale tulipoongea siku ya kwanza tukiwa wawili akafanikiwa kulitumia dushe langu kama kipaza sauti na kufanikisha kuniliza chozi moja la fasta.

Baada ya tukio hilo mapenzi yakazaliwa huku tukipeana na wakati mwingine akijakuchukuliwa na magari kisha kurudishwa asubuhi. Niliendelea kuvumilia hali ile kwa kuwa nilijiwekea kwamba napiga kwa muda kisha nasepa lakini sasa naona nimedata naye amenasa. Kumuacha nashindwa
na yeye kuacha UCHANGUDOA hawezi. Kuna wakati alikuwa akitishia kujiua iwapo angenifumania na kikubwa anasema ameshafanya matukio makubwa ya kucharanga viwembe wanawake wenzie.

hilo linanitisha na kunisumbua. ni kweli ni mzuri, ni kweli ni fundi kiasi chake. Lakini bado ni muuzaji na kibaya zaidi najua kuwa anajiuza. Jana nilijaribu kuongea naye lakini mwisho wa siku akaangukia kwenye kunipa penzi. Nilijikuta nikisahau hata kuendelea kumuuliza. Tuliagana vizuri baada ya mechi na kuniambia kuwa anakwenda kulala, Lakini cha ajabu Nimeamka asubuhi namuona akishushwa na gari akiwa na mizigo. Moyo Unaniuma, nimeamua kumnunia lakini siwezi kwa kuwa Nampenda sana.

MSAADA KATIKA HILI
Hama hapo ... na usimtafute tena na yeye asijue utakakohamia
 
Back
Top Bottom