Msaada: Namna bora ya kuua paka pori/shume kwa sumu

Yaani ale kuku zangu halafu nitumie gharama yote hii? Dawa hapo ni kuuzamisha mtego kwenye maji au kulitia moto kabisa, aseeeeh
hahaaa kama nakuona vile roho ilivyokunjamana hali ukitafuna jino...!

haya 'mapumbavu' yanaudhi. yalimtafuna kuku wangu akiwa ameatamia mayai 12, nikaishia kula hasara ya viumbe watarajiwa.
 
MREJESHO:

nawashukuru kwa msaada. Paka Yule Amekufa Jana. Nilimtega na sumu ya panya Aina ya ratox packet sita, vidonge nane vya ibuprofen na vidonge sita vya indocid. Hivyo nilimpa na msosi wa Samaki.
Ahsanteni Sana.
 
Habari wakuu. Kuna mahala hapa paka pori shume wananisumbua haswa. Wanaiba mayai, wanakamata kuku n.k. naomba nisaidiwe namna ninavyo weza kuwaua kwa sumu
MREJESHO:

nawashukuru kwa msaada. Paka Yule Amekufa Jana. Nilimtega na sumu ya panya Aina ya ratox packet sita, vidonge nane vya ibuprofen na vidonge sita vya indocid. Hivyo nilimpa na msosi wa Samaki.
Ahsanteni Sana.
 
Piriton.
Nunua piriton tano/sita, zisage kisha zichanganye na mchuzi wa nyama au samaki robo kikombe. Akinywa atalala hapohapo. Mbebe kamtupe mbali sana kama huwezi kumla.
-usiweke dawa nyingi sana au mchuzi kidogo sana atakereka na harufu, hatakula
-mchuzi uwe sontojo la maana ili kupoza harufu na ladha ya dawa. Sio umeunga mboga mafuta kisoda.
Utupe mrejesho
 
Ukienda kumtupa mbali,kabla hujafika nyumbani kaisharudi
 
Ulimuua ili afe kabisa akose hata nguvu za kufika mbinguni?
 
Kwanini umuue. ..kwani wewe ndiye mwenye haki pekee ya kuishi duniani. .....yaani mtu unaongelea kuua kiumbe as if ni normal thing kweli..?

Hata pilau uliyokula Jana ni matokeo ya mauaji ya kikatili
 
Kweli !
Jamii foroum (hoja mchanganyiko), kuna mawazo, na fikra mchanganyiko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…