Msaada: Namna bora ya kuua paka pori/shume kwa sumu


Huu ukatili siuwezi
 
Ahsamte sana madam
 
[emoji28] [emoji28] [emoji28] Kwa jinsi nilivyo siwezi kuchanganya utumbo wa samaki na sumu lazima hamu ya kula iniijie na nile huo utumbo.

Siwezi kumpa paka utumbo, bora nile mwenyewe nife yeye abaki.
 
πŸ˜€πŸ˜€matumbo ya samaki mengine hayaliwi bana Tena wakisikia harufu ya shombo watakuja mbiombio wakaribie kifo chao
[emoji28] [emoji28] [emoji28] Kwa jinsi nilivyo siwezi kuchanganya utumbo wa samaki na sumu lazima hamu ya kula iniijie na nile huo utumbo.
Siwezi kumpa paka utumbo, bora nile mwenyewe nife yeye abaki.
 
Huyo ni binaadamu ana uwezo mpana wa kufikiri kuliko huyo paka. .bado Kuna njia nyingi tu ambazo anaweza kuzitumia zikasaidia kuto muhusu huyo paka kufika hapo. ..kuliko kumdhulumu haki yake ya kuishi
Mpe njia bora ya kuua paka we mwenyewe una kula ndege na nyama walio chinjwa bila huruma..Utamuoneaje huruma paka anaye ua panya na kuku muaji lazima auliwe
 
Hivi kuna watu bado mnaua wanyama karne hii kweli? Achana na huyo kiumbe tafadhali. Ulizia njia ya kumuondoa maeneo yako anayokusumbua. Unaweza ukamdaka mtego kama ule wa samaki. Then akiingia humo,unaubeba huo mtego mpaka polini,umbali mrefu mashambani huko,fungua mtego iwe rahisi kwake kutoka kwenye hiyo mtego,bila kudhurika tafadhali usimuue
 
Paka ufunge mlango? duh! siamini kama utamuua kirahisi
 
[emoji16] [emoji16] [emoji16] we jamaa bana

Smart guy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…