Msaada: Namna ya kufanya booking ya tiketi ya ndege kutoka Mpanda kwenda Dar

Mnyuke Jr

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2021
Posts
4,472
Reaction score
6,391
Habari zenu wakuu

Naomba msaada wa muongozo wa namna ya kubook online ticket ya ndege kutoka Mpanda to Dar es salaam kwa Air Tanzania

Nina mpango wa kusafiri tar 18 mwezi huu na nina hitaji kubook ticket hiyo online ili nikimaliza shughuli zangu nitumie flight hiyo kurudi Dar

JF Wajuaji ninawasubiri hapa
 
Kuandika tu heading ni tatizo. Unaonekana hauko makini kwenye uandishi so nakupa angalizo huko online unakoenda ku-book tiketi usifanye makosa..

Maaana ukifanya makosa kama hayo utaikosea tiketi nzima
 
Twende kwenye somo sasa.

Nenda kwenye Google yako search website hii Air Tanzania | The Wings Of Kilimanjaro then kuna page itafunguka.

Utajaza tarehe yako ya kusafiri...kama ni kwenda na kurudi au kwenda tu.

Screenshot_20220305-085104_Chrome.jpg
 
Kuandika tu heading ni tatizo.....unaonekana hauko makini kwenye uandishi so nakupa angalizo huko online unakoenda ku-book tiketi usifanye makosa..

Maaana ukifanya makosa kama hayo utaikosea tiketi nzima
Acha ujuaji ninyi ndio hamjui kitu mnajifanya mnajua kukosoa tu wenzenu, huna maana kabisa kukosea herufi moja ndio iwe sababu ya mtu kushindwa kubook tiketi online, acha ukuda huo wa kipumbavu, kama hujui waache wanaojua wamwelekeze, afu ww bila shaka umezaliwa kijijini umekulia kijijini sijui wa wap ww
 
1. Ingia website ya Air Tanzania. Air Tanzania | The Wings Of Kilimanjaro

2. Kisha bonyezeza Book Flight.

3. Jaza taarifa zako za msingi kwa kuanza na tarehe ya kusafiri.

4. Ukimaliza kujaza watakupa option ya kulipia either kwa Bank, Mobile Money, etc ila utapewa control number.

5. Lipia, utatumiwa tiketi kwenye email. Utaprint au utaenda kuprint pale dirisha la Air Tanzania the day una safiri.

6. Enjoy your flight.
 
Mkuu nikisha maliza kujaza details za safari yangu na niki bonyeza book flight wananiletea kitu hiki
Screenshot_20220305-090333.png
 
Uko wapi ?, Inaonekana lipo tatizo la mtandao hapo ulipo. Jaribu kutoa détails zako kwa mtu mwingine sehemu nyingine akufanyie booking ili umalizie malipo tu.
 
Ngoja nizingatie hilo mkuu
 
Habari zenu wakuu

Naomba msaada wa muongozo wa namna ya kubook online ticket ya ndege kutoka Mpanda to Dar es salaam kwa Air Tanzania

Nina mpango wa kusafiri tar 18 mwezi huu na nina hitaji kubook ticket hiyo online ili nikimaliza shughuli zangu nitumie flight hiyo kurudi Dar

JF Wajuaji ninawasubiri hapa
I hope umepata msaada ...salimia mtaa wa Simba the Digital na ntaa wa fisi Mpanda pazuri sana kwa UWEKEZAJI....Ikola Kasekese Lugonesi Mwese Kayenze etc
 
Kuandika tu heading ni tatizo. Unaonekana hauko makini kwenye uandishi so nakupa angalizo huko online unakoenda ku-book tiketi usifanye makosa..

Maaana ukifanya makosa kama hayo utaikosea tiketi nzima
Anaweza kujikuta ughaibuni badala ya Dar
 
I hope umepata msaada ...salimia mtaa wa Simba the Digital na ntaa wa fisi Mpanda pazuri sana kwa UWEKEZAJI....Ikola Kasekese Lugonesi Mwese Kayenze etc
Hapo mtaa wa fisi mpanda ni kama riverside pale ubungo kwa zile huduma zetu za haraka
 
Nishafanya booking tayar mkuu ,kipengele cha kutoka Mpanda to dar kwa bus ni hatari sana
"...ndege iliyumba kidogo akasema my God! Baadaye ndege ikayumba sana akasema maweeeee!" J. K. Nyerere akimnukuu the Late Sir George Kahama🤣😂
 
Back
Top Bottom