MeruA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2017
- 1,390
- 2,148
Uwanja wa Mpanda umeshaanza kufanya kazi?
Mwaka 2018 nilienda kikazi kipindi hicho barabara ya lami ilikuwa haijakamilika hata Sikonge ilikuwa bado haijafika,aisee msoto nilioupata wakati wa safari siwezi kusahau m,tulitoka stand ya Tabora kwenye saa 10 jioni usiku kucha tuko porini tulifika kesho yake saa tano asubuhi,nilikaa kule siku nne nikamaliza kazi iliyonipeleka,nikaiwaza ile safari ile njia na wakati ule wa masika nikasema niuulizie [emoji574] nikaambiwa uwanja ulishasimama kufanya kazi mpaka ufanyie marekebisho,nilichoka sikuwa na namna nikapanda basi kurudi,saa 11 jioni nipo Tabora,ndipo nikagundua mwanzo nilisafiri na basi bovu.
Ila siku hizi mkeka ni kuteleza tu.
Habari za airport zinatia matumaini kama huduma zimerudi basi trip ijayo nitazuru Mpanda tena.