Acha ujuaji ninyi ndio hamjui kitu mnajifanya mnajua kukosoa tu wenzenu, huna maana kabisa kukosea herufi moja ndio iwe sababu ya mtu kushindwa kubook tiketi online, acha ukuda huo wa kipumbavu, kama hujui waache wanaojua wamwelekeze, afu ww bila shaka umezaliwa kijijini umekulia kijijini sijui wa wap wwKuandika tu heading ni tatizo.....unaonekana hauko makini kwenye uandishi so nakupa angalizo huko online unakoenda ku-book tiketi usifanye makosa..
Maaana ukifanya makosa kama hayo utaikosea tiketi nzima
Mkuu nikisha maliza kujaza details za safari yangu na niki bonyeza book flight wananiletea kitu hiki1. Ingia website ya Air Tanzania. Air Tanzania | The Wings Of Kilimanjaro
2. Kisha bonyezeza Book Flight.
3. Jaza taarifa zako za msingi kwa kuanza na tarehe ya kusafiri.
4. Ukimaliza kujaza watakupa option ya kulipia either kwa Bank, Mobile Money, etc ila utapewa control number.
5. Lipia, utatumiwa tiketi kwenye email. Utaprint au utaenda kuprint pale dirisha la Air Tanzania the day una safiri.
6. Enjoy your flight.
I hope umepata msaada ...salimia mtaa wa Simba the Digital na ntaa wa fisi Mpanda pazuri sana kwa UWEKEZAJI....Ikola Kasekese Lugonesi Mwese Kayenze etcHabari zenu wakuu
Naomba msaada wa muongozo wa namna ya kubook online ticket ya ndege kutoka Mpanda to Dar es salaam kwa Air Tanzania
Nina mpango wa kusafiri tar 18 mwezi huu na nina hitaji kubook ticket hiyo online ili nikimaliza shughuli zangu nitumie flight hiyo kurudi Dar
JF Wajuaji ninawasubiri hapa
Mkuu upo website ya Wings of Kilimanjaro kweli maana naona kama unatumia 3rd party.Mkuu nikisha maliza kujaza details za safari yangu na niki bonyeza book flight wananiletea kitu hikiView attachment 2139424
Anaweza kujikuta ughaibuni badala ya DarKuandika tu heading ni tatizo. Unaonekana hauko makini kwenye uandishi so nakupa angalizo huko online unakoenda ku-book tiketi usifanye makosa..
Maaana ukifanya makosa kama hayo utaikosea tiketi nzima
Hapo mtaa wa fisi mpanda ni kama riverside pale ubungo kwa zile huduma zetu za harakaI hope umepata msaada ...salimia mtaa wa Simba the Digital na ntaa wa fisi Mpanda pazuri sana kwa UWEKEZAJI....Ikola Kasekese Lugonesi Mwese Kayenze etc
๐๐๐๐ Ngoja ni-bookmark hii comment.Hapo mtaa wa fisi mpanda ni kama riverside pale ubungo kwa zile huduma zetu za haraka
"...ndege iliyumba kidogo akasema my God! Baadaye ndege ikayumba sana akasema maweeeee!" J. K. Nyerere akimnukuu the Late Sir George Kahama๐คฃ๐Nishafanya booking tayar mkuu ,kipengele cha kutoka Mpanda to dar kwa bus ni hatari sana