Msaada, namna ya kufuta course ajira portal

complexi

Member
Joined
Jul 6, 2021
Posts
78
Reaction score
97
Naomba kujuzwa namna ya kufuta course ambayo nimesave kwenye mfumo wa ajira portal.

Nimeweka level ya education ni diploma na nimesave but nikijaribu kufuta inakataa, lengo niombe kazi kwa kutumia level ya certificate na siyo Diploma.

Naomba mnisaidie kama kuna namna ya kufuta.
 
Watumie e-mail kuhusu tatizo lako chap tu watakusaidia.. nilikuwa na tatizo kama lako simu nilipiga mara 10 hawapokei lakini e-mail nilivotuma wakaniondelea chap
Waliiondoa ama walikusaidia Kwa namna gani mkuu
 
Watumie e-mail kuhusu tatizo lako chap tu watakusaidia.. nilikuwa na tatizo kama lako simu nilipiga mara 10 hawapokei lakini e-mail nilivotuma wakaniondelea chap
Asee ulitumia email gan hadi wakaweza kukuhudumia? Mm nliweka cheti cha form six nataka nikitoe lakn nlituma email kmya, nkapiga smu akapokea jamaa flan akasema hawawez kukiondoa. Hadi leo nashindwa kuapply kaz kwa sabab ya chet cha form six (kaz nayoapply inahtaji form four)
 
Kwenye website yao kweny sehem ya mawasiliano pale kuna namba na e-mail yao ipo
 
email yao hii hapa ict@ajira.go.tz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…