Msaada, namna ya kufuta course ajira portal

Pole kwa changamoto, Ila ajira Portal na IT wao ni either vilaza sana au hawajui wanachokifanya. Mpangilio wa course umekaa hovyo sana na wapo so rigid. Nimpongeze Mama kutoa ruhusa kwa taasisi kuajiri wenyewe.
 
Watumie e-mail kuhusu tatizo lako chap tu watakusaidia.. nilikuwa na tatizo kama lako simu nilipiga mara 10 hawapokei lakini e-mail nilivotuma wakaniondelea chap
nimewatumia email nasubili nione kama watajibu
 
Naomba msaada wa specification ya profile photo ya kwenye ajira portal.
Height, width, size kwa maana ya mb na format yake pia
 
Watumie e-mail kuhusu tatizo lako chap tu watakusaidia.. nilikuwa na tatizo kama lako simu nilipiga mara 10 hawapokei lakini e-mail nilivotuma wakaniondelea chap
mkuu hadi leo hawajanijibu nimewatumia txt kwnye email yao
 
That is strange, mimi niliwatumia e-mail yenye maelezo kamili ya shida yangu, walinishughulikia ndani ya siku mbili tu.. endelea kuwasubiri huenda bado hawajaiona
 
Maelezo kamili kivip au na kutaja majina yako na nida au msaada mkuu kwnye maelezo
 
Mwenye maisha kila mtu na njia yake ya kusaidika. Mwenzio katuma email kajibiwa. Haina maana na wewe ukituma utajibiwa. All in all ushuhuda ni mzuri ila kila mtu na njia yake. Pambana mkuu
 
kwa kweli kaka
 
Watumie e-mail kuhusu tatizo lako chap tu watakusaidia.. nilikuwa na tatizo kama lako simu nilipiga mara 10 hawapokei lakini e-mail nilivotuma wakaniondelea chap
Wapuuzi hawako serious mi nshawatumia Sana email lakini hawarespond, ictajira portal Hadi wenye hawajibu.
Madudu matupu
 
Pole sana , mimi nilitumia njia hiyo ndani ya siku mbili wakanisaidia
 
Back
Top Bottom