Mkushi w jani
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 1,798
- 1,570
nmeambiwa wanagomaFunga tu safr nenda ofs zao hapo dodoma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nmeambiwa wanagomaFunga tu safr nenda ofs zao hapo dodoma
Uwezi kuondoa hicho cheti!Naomba kujuzwa namna ya kufuta course ambayo nimesave kwenye mfumo wa ajira portal.
Nimeweka level ya education ni diploma na nimesave but nikijaribu kufuta inakataa, lengo niombe kazi kwa kutumia level ya certificate na siyo Diploma.
Naomba mnisaidie kama kuna namna ya kufuta.
Kwangu niliwatumia email lakini wakarudisha majibu kuwa hawawezi kufuta maana hicho ninachotaka kufuta nimesomea.Watumie e-mail kuhusu tatizo lako chap tu watakusaidia.. nilikuwa na tatizo kama lako simu nilipiga mara 10 hawapokei lakini e-mail nilivotuma wakaniondelea chap
Kwa sababu ety hicho cheti n mali yakoHivi logic behind ni nini?
Ila ww na huyo jamaa ako mnakuwa kama mazoba yn
Sasa kwanini hawajaweka interface ya kubadili incase nimeupload wrong data?Kwa sababu ety hicho cheti n mali yako
Unaweza kukitoa na kukiweka ambacho sahihi kwa kufanya edit hapoSasa kwanini hawajaweka interface ya kubadili incase nimeupload wrong data?
mimi na shida ya kufungua account ajira portal kila nikifungua inataka valid email naomba msaadashida namba ya nida ngumu kutumia zaidi ya mara moja
Msaada nimekosea kuweka level ya elimu nimejikuta nimewek leve ya kidato cha 6 na Misha weka na chet ila nimejaribu kufut level ya elimu nimeshindwa nikiweka basic level ya kidato cha nne niambie level tayr ipo apo nifanyaje nahitaji kufuta hio level kbsa
2.Ap nyuma niliweka vet original sas kuvitoa kuweak chet certified inagoma haikubali kbsa nimejikuta nimerudia kuwek org na certified.
Hivo vyenye Alama ya X ni org ambavo havin ni certified hio X ya mwishon kwenye advance ndio nahitaji kufuta nimeshindwa msaada.
Hio picha ya pili Lila nikifanya edit penye vet original ndio inaleta maelez hayo ndio ikabid nirudie kuweka upya. Ikibaki ivo. Kuna tatz org na certified au nifanyaje.
View attachment 3053709View attachment 3053711
Mimi niliwafuata mpaka ofisini kwao wakagoma wakasema hvyo vyeti nilivyoombea ni higher entry qualification kwa hyo hawawezi kunisaidia lakini all in all hawa jamaa wanakosea sana ndo Yale yale ya cheti cha JKT na ajira za Uhamiaji,JWTZ na polisi kama kigezo ambacho bunge imefuta juzi huu ni ubaguzi
mfumo hautend haki kwa kwel though watu wanatoboaa kupitia hii portal shida hizi changamoto wanashindwa tatuaa
Huwezi tumia NATIONAL IDENTIFICATION NUMBER (NIN) MARA MBILI,.. uFungua akaunti nyingine kama una email id mbili... Yani kwa account mbili tofauti
Vipi ndugu walikujibunimewatumia email nasubili nione kama watajibu