Msaada namna ya kupambana na Nyoka, naanza kuchoka

Bro hao nyoka hawana madhara kbs wala hawaumi.NI BROWN HOUSE SNAKE..
Wanakusaidia kupunguza pest kama panya au wadudu wengine.
Hawana sumu kabisa bali ni constrictors(wanambana panya pumzi)kisha kummeza.

Uwe na amani kabisa...
Hao wanaweza kuwavutia African Forest Cobra, cobra huwa wanakula nyoka wenzake
 

Heeeeee!!!!
 
Siwakubali nyoka
 
nyoka sio rafiki kabisa......WANAWAKE ,,,, wana urafiki nae toka enziiiii......so kuna zile alcoholic sanitaiza spay,,,, weka kerosene kidogo then pulizia kwenye vipenyo vyote..........but uwe makini sana na unaoishi nao.......kikitokea kanyaga ua.....kimya kimya.....watatulia tuu...
 
Aina hii ya nyoka haina madhara kwa binadamu, haina sumu! Hula wadudu.
 
Tumia ulez na chumvi. Hutokaa uwaone
 
Bro hao nyoka hawana madhara kbs wala hawaumi. NI BROWN HOUSE SNAKE

Wanakusaidia kupunguza pest kama panya au wadudu wengine.

Hawana sumu kabisa bali ni constrictors (wanambana panya pumzi)kisha kummeza.

Uwe na amani kabisa
tatizo ntajuaje kama nyoka fulani ni constrictors?naogop sn hawa wadudu.
 
Nilimwagia nyoka mafuta ya taa aisee alipandwa na hasira na kuanza kunijia mimi nikafyeka panga moja tu.


Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Hebu tupia video tuone ulivyomfyeka panga moja, usikute ulifyeka panga 15 halafu unasema moja
 
Uko morogoro mkuu?
 
Roast ya mchuzi? Na pilipili kwa mbali, sema wanakuja wadogo wadogo tu. Huyu nimemchoma akatoa kaharufu Fulani amazing sana
Nyoka wanaingia mlangoni, hasa kwa milango ambayo imeachia nafasi kwenye sakafu. Tafuta oil chafu kama lita moja au mbili toka garage. Changanya na mchanga na kisha zungushia nyumba yote kwa nje umbali wa 0.5m toka ukutani. Rudia zoezi hili kila baada ya miezi 3.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…