Tajiri Sinabay
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 1,333
- 3,619
Ahaa poa wacha nijaribubofya share kisha copy link kisha ipaste humu
Mi mgeni hapa miksa kingereza sijuwi, hivo mambo mengi nashindwa kuyafanya humu ndio najifunza moja moja.Hadi Mi nimekushinda 😜
Nafundisha tuition 😅😅😅Mi mgeni hapa miksa kingereza sijuwi, hivo mambo mengi nashindwa kuyafanya humu ndio najifunza moja moja.
Mficha ................................ hazai.
Kama nilishindwa kujuwa wakati natafutiwa ugali, nitaweza sasa ambapo natafutia ugali watu wengine! Labda unifundishe huku unanilipa mshahara. okeei madamu?Nafundisha tuition 😅😅😅
Mh sijaelewa cha maana ila acha nikafanye plaktikoWeka kama link.
1. Bonyeza iyo alama ya "Link"
View attachment 3215807
2. Kwenye Link paste iyo link uliocopy YouTube
View attachment 3215809
3. Kwenye Text usiandikw kitu.
Itakua kama hivi:
View: https://youtu.be/YtwprTbrJe8?si=z22hSQjQNDyEGOKp
Mimi huyoKama nilishindwa kujuwa wakati natafutiwa ugali, nitaeeza sasa ambapo natafutia ugali watu wengine! Labda unifundishu huku unanilipa mshahara. okeei madamu?
Kama ww n wa kike njoo pm nikufundishe namna ya kupost hata bila kushika simu yako
Inasikitisha sana mkuu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣1. Nenda youtube kwenye video unayotaka kuweka humu JF
2. Kwenye ile video ukiplay kuna sehemu utaona imeandikwa "share" bonyeza hiyo share hapo hapo utaona sehemu imeandikwa copy...bonyeza copy
3. Njoo JF uipaste
Ole wako useme hujaelewa!!!
ni nani huyu huko dalesalamu?
Shida yako unaelekezwa halafu husikilizi...ulielekezwa namna ya kubadili jina lakini hadi sasa wewe bado ni Kijana masikini🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Elimu na mkwara juu..