Tajiri Sinabay
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 1,333
- 3,619
- Thread starter
- #21
Yeeeeeeeeeeeeeeeeeeeees nimeweza asanteni sana wadau mungu awajaalieni mupate watoto mapacha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh kumbe mimi ni mtu muhimu hapa duniani, yaani kutokuweza kupandisha video ya youtube hapa jf Trump kasitisha misaada!Ndo maana Trump kasitisha misaada
Sio wa daresalamu mkuu mi mwenyewe simjuwi ila najuwa ni wa taborani nani huyu huko dalesalamu?
Ile kubadilisha jina ilikuwa ni hadi ID ifikie mwezi mmoja (kwa mujibu wa maelekezo ya wadau) sasa nishatimiza mwezi humu nahisi ila sijaenda kucheki tena, maana nishalizoea tayari jina langu lishazoeleka pia, nina wana wawili watatu wanaonikubali kwenye mambo ya kipuuzi sitaki kuwachanganya tena.Shida yako unaelekezwa halafu husikilizi...ulielekezwa namna ya kubadili jina lakini hadi sasa wewe bado ni Kijana masikini
Hebu fuata hayo maelezo kwanza nione kama umeelewa...weka video ya youtube
Ile kubadilisha jina ilikuwa ni hadi ID ifikie mwezi mmoja (kwa mujibu wa maelekezo ya wadau) sasa nishatimiza mwezi humu nahisi ila sijaenda kucheki tena, maana nishalizoea tayari jina langu lishazoeleka pia, nina wana wawili watatu wanaonikubali kwenye mambo ya kipuuzi sitaki kuwachanganya tena.
Usibadili
Video iko wapi?Ok...Nadhani nadhani video umeiyona.
nNa kukoleza maandishi kwenye kichwa cha Uzi je nafanyaje?
Mbona karibia Thread zote zimekolezwa, kasoro chache sana!Umetisha sana
Sasa kuhusu kubold kichwa cha uzi nahisi kama mods hawapendi...ukibold kichwa cha uzi au ukikiandika kwa herufi kubwa wakistuka wanabadilisha
Mbona karibia Thread zote zimekolezwa, kasoro chache sana!
Duh kweli kufeli ni kushindwa kujaribuKwangu naona nyingi hazijaboldiwa 😃
Enwei, kubold si unaselect maneno uliyoandika halafu utaona juu hapo kushoto kuna B, unabonyeza basi inakuwa tayari
Jaribu
Duh kweli kufeli ni kushinwa kujaribu
Kwenye kaundika Heading sioni hiyo B.Kubold ni rahisi sana kuliko kubadili ID na kuattach video manake ni B ipo hapo juu tu kushoto kwako
Kwani hujaelewa?
Na hawa wanaokoloza huwa wanafanyaje?Sidhanii kama inawezekana. JF wana- block.
Kama ni video za kina mwamposa ...basi bora usijue jinsi ya kuziweka JF ...maana hao wahuni tumesha wachoka.....Habarini za wakati wakuu.
Nashindwa kujua namna ya kufanya kupandisha humu jamii forums video za mitandao mingine hasa youtube naombeni mnipe njia.
Amani ya bwana iwe nanyi.
mshamba_hachekwi
Mshana Jr
Sawa kiongoziKama ni video za kina mwamposa ...basi bora usijue jinsi ya kuziweka JF ...maana hao wahuni tumesha wachoka.....
Mkuu alifanyaje huyo memba?Aiseee hii thread imenifurahisha sana na ikanikumbusha member fulani nadhani anaitwa sijui Malimi Demilison.