Msaada namna ya kupandisha video za youtube hapa Jf

Msaada namna ya kupandisha video za youtube hapa Jf

Kubold ni rahisi sana kuliko kubadili ID na kuattach video manake ni B ipo hapo juu tu kushoto kwako

Kwani hujaelewa?
kuna kitu nimekihisi
nadhani threads huwekwa huu mkolezo na jf wenyewe maana naona kabla sijaifungua thread huwa na mkolezo lakini baada ya kuifunguwa, ile heading huwa na maandishi ya kawaida tu (membamba ila ni makubwa)
 
Nilikwambia mods hawapendi mkolezo wala herufi kubwa kwenye kichwa cha uzi ukanibishia
 
Nilikwambia mods hawapendi mkolezo wala herufi kubwa kwenye kichwa cha uzi ukanibishia
😆😆Sema unafaa kufundisha chekechea, unajuwa kumwelewesha mtu mwenye uelewa mdogo/asiyekuwa na uelewa kabisa akaelewa
 
Mkuu, nimeelewa kote isipokuwa hatua ya 3, Naipaste vipi hiyo link??

Naomba unielekeze jinsi ya kupaste link, asante Jonnah
1. Nenda youtube kwenye video unayotaka kuweka humu JF
2. Kwenye ile video ukiplay kuna sehemu utaona imeandikwa "share" bonyeza hiyo share hapo hapo utaona sehemu imeandikwa copy...bonyeza copy
3. Njoo JF uipaste

Ole wako useme hujaelewa!!!
 
Mkuu, nimeelewa kote isipokuwa hatua ya 3, Naipaste vipi hiyo link??

Naomba unielekeze jinsi ya kupaste link, asante Jonnah
Ni kama kawaida unavyopaste vitu vingine

Ukisha-copy link kule youtube njoo JF kwenye eneo unataka kupaste, kisha bonyeza na ushikilie sehemu ambapo ungependa kuweka hiyo link uliyocopy kule youtube. Halafu, chagua "Paste" kutoka kwenye orodha inayojitokeza.

Jaribu kwenda youtube copy video yoyote halafu uje kuniquote kwa kuipaste kupitia maelezo hapo juu
 
Back
Top Bottom