Msaada namna ya kupata mimba

Msaada namna ya kupata mimba

Wanajf mwezi January nilianza period tarehe 7,February tar 4 na march hii nimeanza leo tarehe 3 naomba msaada ni tarehe zipi naweza kupata mimba maana niko mbali na mume wangu tunataka tupate mtoto nataka aje cku za hatari ili mimba ipatikane.Naomba kuwasilisha.

Kuna Apps za menstruation cycle (kalenda) Google play.., download kwenye smartphone yako zitakusaidia kutambua ovulation day ambayo unaweza ukapanga kukutana na mumeo kwa uwezekano wa kutungisha ujauzito.
 
USHAURI WOTE HUO SIO SAHIHI... WE NJOO KWANGU WEEKEND IJAYO KAZI KWISHA.
 
Kwani akifumua siku zote kuna shida gani? Aanze Mp ikiisha hadi ikianza upya....... nadhan atafaid pia atapata vitu mubashara!# dunia ishajaa
 
Siku unayoingia period hesabu kama day1 so kama unataka mimba na huna tatzo lolote hakikisha itapofika day 14,15,16,17 u ***na mumeo sawa mama..hope umensoma
 
Wanajf mwezi January nilianza period tarehe 7,February tar 4 na march hii nimeanza leo tarehe 3 naomba msaada ni tarehe zipi naweza kupata mimba maana niko mbali na mume wangu tunataka tupate mtoto nataka aje cku za hatari ili mimba ipatikane.Naomba kuwasilisha.
Kwa January 2017, siku mwafaka kukutana na mmeo kwa tendo la ndoa na kushika mimba was kati ya tarehe 19 mpk tarehe 21. Kwa February 2017, ingekuwa kati ya tarehe 16 mpk tarehe 19. Na kwa March 2017 siku mwafaka itakuwa kati ya tarehe 15 mpk tarehe 18 mwezi huu. Hakikisha wewe na mwenzi wako mnapata chakula bora, avoid ulevi, avoid stress kwa kipindi chote, avoid sex ya mara kwa mara (yaani unnecessary sex plays kwa kipindi hichi muhimu)na pata usingizi wa kutosha. Kumbuka yai la kike (yaani ovaries) huwa tayari kwa kurutubishwa na mbegu za kiume siku ya 14 kuanzia siku damu imeanza kutoka, yaani siku ilipoingia mwezini kwa lugha ya mtaani!
 
Angalizo inategemea urefu wa siku za mzunguko. siku ya 14 kama mzunguko ni siku 28 mfano kama ni 30 yai hutoka siku ya 16 angalia kuna link ya app nimetuma kwenye post zilizopita

Back
Top Bottom