Himawari
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 2,609
- 1,700
Wanajf mwezi January nilianza period tarehe 7,February tar 4 na march hii nimeanza leo tarehe 3 naomba msaada ni tarehe zipi naweza kupata mimba maana niko mbali na mume wangu tunataka tupate mtoto nataka aje cku za hatari ili mimba ipatikane.Naomba kuwasilisha.
Kuna Apps za menstruation cycle (kalenda) Google play.., download kwenye smartphone yako zitakusaidia kutambua ovulation day ambayo unaweza ukapanga kukutana na mumeo kwa uwezekano wa kutungisha ujauzito.