Msaada: Nani amemuiga nani hapa?

[emoji196] [emoji196] kazi yake ni kufumuliwa marinda
 
Tuliobobea kwenye lugha adhimu ya kiswahili tunasema hayo ni "MAUMBO MBINUKO"
 
Samahan lakin kwa ntakao wakera, huyo rubi (mwenye nyekundu, hata kama si rubi) ni mbaya kwa kweli, yaani ni mbaya jumla jumla.

Samahan lakini kwa yeyote atakaye jiskia vibaya kwa kweli nimeshindwa kujizuia nisiseme
Weka picha yako wewe uliye mzuri
 
Pale anapopata muda wa kujadili nani mzuri nani mbaya, huenda vigezo anavifahamu na pengine yeye anavyo.
Ukisoma statement yangu nimekuwa mstaarabu sana niliweka caution ya excuse kwa atakaye jiskia vibaya. Nilikuwa naepusha mijadala kama hii mkuu.
 
Ukisoma statement yangu nimekuwa mstaarabu sana niliweka caution ya excuse kwa atakaye jiskia vibaya. Nilikuwa naepusha mijadala kama hii mkuu.
Ukileta mada hapa maana yake unataka ijadiliwe, vingevyo ungekaa kimya. Excuse haizuii mada kujadiliwa
 
Ukileta mada hapa maana yake unataka ijadiliwe, vingevyo ungekaa kimya. Excuse haizuii mada kujadiliwa
Kwa hiyo unasemaje sasa!!? Hayo ni maoni yangu we kama unamuona mzuri sija kukataza
 
Ni mawazo yko yenye mapepo ndani yke na so kila mtu lazma kwako umuone mzuri....Ruby muache tu maana hujui lolote,na c ajabu hiyo pic tu unaipigia nyeto
Mambo mengine ungeyaacha tu mkuu... Hapo unaenda kinyume na uhalisia
 
Kila mtu ana macho yake na hisia zake bana, usiempenda wenzako wanaota watampata lini ila kwa kweli kuna wasichana wabaya sio siri
Kupenda ndo kila mtu ana jicho lake. Kwa mwonekano, wote tunaona sawa. Wengine mnajarib kuwa tu positive
 
Mkuu watu wengine hata hawajui nini maana ya msamaha, wakati huohuo na yeye wapo ambao anawaona wabaya!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…