Msaada: Nani amemuiga nani hapa?

Msaada: Nani amemuiga nani hapa?

Samahan lakin kwa ntakao wakera, huyo rubi (mwenye nyekundu, hata kama si rubi) ni mbaya kwa kweli, yaani ni mbaya jumla jumla.

Samahan lakini kwa yeyote atakaye jiskia vibaya kwa kweli nimeshindwa kujizuia nisiseme
Licha ya ubaya, bado anaonekana kama "Mzee"
 
Hance mtanashatia ameniambia nije kumtetea tunda, msichana mrembo kuliko wote Afrika mashariki na kati.
Hahahah
Alafu kaka eeh
Mbona nimeona hance kama jf wame mpa cheo cha kijeshi sjui brigedia generali!!! Sujui generali nani
Ebu fanya utaratibu unieleweshe bhana
 
Halina ubishi hilo linatambulika na wanaJF wote. Weka kapicha ka ufukwe wa swimming basi kama tunda na ruby tuangalie nan kamuiga mwenzake.
Dini yangu hairuhusu picha za namna hiyo, na kuwa mzuri sio lazima kuonyesha mwili wako ili watu wakukubali. La mno ni kujiamini na kujikubali mwenyewe
 
Dini yangu hairuhusu picha za namna hiyo, na kuwa mzuri sio lazima kuonyesha mwili wako ili watu wakukubali. La mno ni kujiamini na kujikubali mwenyewe
Yeeess nakuaminia.
Umeongea maneno matamu mpaka shemeji anajivunia kuwa na wewe.
Iceman 3D pia ametetemeka.
 
Yeeess nakuaminia.
Umeongea maneno matamu mpaka shemeji anajivunia kuwa na wewe.
Iceman 3D pia ametetemeka.
Nami pia najivunia kuwa na nyie watu wangu wa nguvu.

Mwambie Iceman 3D asitetemeke ni ya kawaida hayo
 
Back
Top Bottom