Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Shukran pia[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Ahsante
Hata mimi huwa una nifurahisha Dina.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukran pia[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Ahsante
Hata mimi huwa una nifurahisha Dina.
Za ndani auTuma picha zingine bob
Jamani bae wangu, usijali mwaya ni changamoto hizo za mitandao wala yasikupe pressure baeEti luv wangu mi nimekuwa mstaarabu vzuri kabsa, lakin bado mtu ana taka tujibizane.
Watu wana penda kunichafulia cv tuu mimi kijana mpole
Sawa kipenzi changuJamani bae wangu, usijali mwaya ni changamoto hizo za mitandao wala yasikupe pressure bae
Jamani bae wangu, usijali mwaya ni changamoto hizo za mitandao wala yasikupe pressure bae
Hance mtanashati ameniambia nije kumtetea tunda, msichana mrembo kuliko wote Afrika mashariki na kati.Sawa kipenzi changu
Nimekuelewa natulia kama maji ya mtungi now
Licha ya ubaya, bado anaonekana kama "Mzee"Samahan lakin kwa ntakao wakera, huyo rubi (mwenye nyekundu, hata kama si rubi) ni mbaya kwa kweli, yaani ni mbaya jumla jumla.
Samahan lakini kwa yeyote atakaye jiskia vibaya kwa kweli nimeshindwa kujizuia nisiseme
HahahahHance mtanashatia ameniambia nije kumtetea tunda, msichana mrembo kuliko wote Afrika mashariki na kati.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Licha ya ubaya, bado anaonekana kama "Mzee"
SemaMe sisemi maana nikisema mtasema wivu[emoji40][emoji40][emoji40][emoji124][emoji124]
Huyo Tunda yuko vizuri wanao mkamatia wanafaidi sana!
Haha umejipanga??? So niseme af uniache kune mataaSema
Ntakulinda hapa
HahahaHaha umejipanga??? So niseme af uniache kune mataa
Wee hanishindi mimi nduguHance mtanashatia ameniambia nije kumtetea tunda, msichana mrembo kuliko wote Afrika mashariki na kati.
Halina ubishi hilo linatambulika na wanaJF wote. Weka kapicha ka ufukwe wa swimming basi kama tunda na ruby tuangalie nan kamuiga mwenzake.Wee hanishindi mimi ndugu
Dini yangu hairuhusu picha za namna hiyo, na kuwa mzuri sio lazima kuonyesha mwili wako ili watu wakukubali. La mno ni kujiamini na kujikubali mwenyeweHalina ubishi hilo linatambulika na wanaJF wote. Weka kapicha ka ufukwe wa swimming basi kama tunda na ruby tuangalie nan kamuiga mwenzake.
Yeeess nakuaminia.Dini yangu hairuhusu picha za namna hiyo, na kuwa mzuri sio lazima kuonyesha mwili wako ili watu wakukubali. La mno ni kujiamini na kujikubali mwenyewe
Nami pia najivunia kuwa na nyie watu wangu wa nguvu.Yeeess nakuaminia.
Umeongea maneno matamu mpaka shemeji anajivunia kuwa na wewe.
Iceman 3D pia ametetemeka.
Again aliwazalo mjingaKama hujui uhusiano wa kujibinua na kufumuliwa marinda utakuwa ni mjinga wa kishumundu.