MSAADA: Naomba Call Recorder Nzuri Kwa Simu za Android Wakuu

MSAADA: Naomba Call Recorder Nzuri Kwa Simu za Android Wakuu

The best call recorder apps for Android

Automatic Call Recorder by Appliqato
Automatic Call Recorder by RSA
Blackbox Call Recorder
Boldbeast Call Recorder
Call Recorder Automatic
Cube Call Recorder
Otter Voice Notes
SmartMob Smart Recorder
Smart Voice Recorder
Splend Apps Voice Recorder
Bonus: Google Voice
Hizi unaweza hide?
 
IMG_20220327_123746.jpg


Kwenye simu za Xiaomi zile zenye pure MIUI hiyo feature ipo kwenye Rom kabisa huna haja ya Application
 
Heshima kwenu wakuu.

Naomba mnijulishe kuhusu Call Recorder nzuri kwa Simu za Android inayoweza ku-rocord simu zote zinazopigwa na kupigiwa ili niweze ku-install kwenye simu yangu na niwe na uwezo wa ku-record kila simu inayoingia na kutoka kwenye simu yangu wakuu.

NAWASILISHA.
Kama ni muhimu sana nunua simu aina ya LG V50, LGV60, LG VELVET, XIOMI 5G hizi zinakuja na program ya automatic call recording kwenye ram kabisa wewe ni kuiruhusu tu ifanye kazi. Otherwise app nyingi ni uongo hasa hizi za bure.
 
Android/Google wanafuta uwezo wa kurekodi kwa kuwa ina matatizo katika sheria na privacy ndo maana simu nyingi hazifanyi hiyo kazi siku hizi kwa kifupi developers hawana access ya kurekodi so hizo app zinafanya kazi kwenye Android za zamani tu, kuna baaddhi ya manufacturers hasa wa kichina wanaweka hiyo feature katika simu zao moja kwa moja.
 
Back
Top Bottom