MSAADA: Naomba Call Recorder Nzuri Kwa Simu za Android Wakuu

Hizi unaweza hide?
 
Kama ni muhimu sana nunua simu aina ya LG V50, LGV60, LG VELVET, XIOMI 5G hizi zinakuja na program ya automatic call recording kwenye ram kabisa wewe ni kuiruhusu tu ifanye kazi. Otherwise app nyingi ni uongo hasa hizi za bure.
 
Android/Google wanafuta uwezo wa kurekodi kwa kuwa ina matatizo katika sheria na privacy ndo maana simu nyingi hazifanyi hiyo kazi siku hizi kwa kifupi developers hawana access ya kurekodi so hizo app zinafanya kazi kwenye Android za zamani tu, kuna baaddhi ya manufacturers hasa wa kichina wanaweka hiyo feature katika simu zao moja kwa moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…