Msaada: Naomba kufahamishwa kiwango cha makato ya ATM card benki ya NMB

Msaada: Naomba kufahamishwa kiwango cha makato ya ATM card benki ya NMB

Chomo

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2017
Posts
250
Reaction score
662
Binafsi natumia account ya nmb chap chap, ambayo tulifunguliwa kwa msaada wa kampuni mahala tunapofanyia kazi.

Maafisa wa benki wakati wanaipigia chapuo tender hii walituambia makato ya nmb chapchap ni kwa kiwango cha sh,1150 pasi na malipo ya mwisho wa mwezi ukilinganisha na account zingne

Mara hii napoangalia taarifa fupi ktk kutoa pesa inasomeka

(cash withdrawal charge 1271.19)
(VAT payable on comm and fees 228.81)
Jumla ya hayo makato ni 1500

Swali nalojiuliza hyo jumla ya pesa mbona ni kiwango kikubwa zaid ya tulichoambiwa awali?

Na vipi account zingine ukiachana na chap chap, huwa wanakata sh ngapi?

Lakini kama ni fidia ya kutokatwa malipo ya huduma mwisho wa mwezi,mbona kuna kipindi hiwa wanakata elfu 3 zetu.

Nawasilisha
 
Ndiyo tatizo la vitoto vya division 5,unaacha kuuliza benki yako,unakimbilia JF,
Hili jukwaa mnataka kulidharau sana,
 
Back
Top Bottom