Philipo D. Ruzige
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 9,428
- 27,096
Kiwanda pale nasikia udalali mwingi. Alafu sina hata agent najuana nae kakaNenda kiwandani moja kwa moja au tafuta agent umpe posho kidogo achukue mzigo kwa bei nafuu kwa kutumia jina lake
Nenda waambie unahitaji mzigo wa jumla , utaratibu upoje na bei zipoje. Ukishafahamu utajua wapi uanzie maana utakuwa umesgapata mwanga kuwa bei ipoje. Hata kama utaamua kununua rejareja ni fika ushafahamu wholesale ilikuwa kiasi gani uangalie kama unaweza kupunguza makali ya bei au ku save kiasi ganiKiwanda pale nasikia udalali mwingi. Alafu sina hata agent najuana nae kaka
Sasa unataka watu wakale wapi, udalali lazma utoe tu 🤣 cha msingi kuwa mpole na muelewa tu.Kiwanda pale nasikia udalali mwingi. Alafu sina hata agent najuana nae kaka
Asante sana kwa ushauri. Nitalifanyia kaziNenda waambie unahitaji mzigo wa jumla , utaratibu upoje na bei zipoje. Ukishafahamu utajua wapi uanzie maana utakuwa umesgapata mwanga kuwa bei ipoje. Hata kama utaamua kununua rejareja ni fika ushafahamu wholesale ilikuwa kiasi gani uangalie kama unaweza kupunguza makali ya bei au ku save kiasi gani
Shukrani kaka. Ndio mana nataka nikienda kuchukua niende na fundi kwa kuwa ni mdogo wanguHivi unajua kuna baadhi ya bidhaa kununua Kiwandani hakupunguzi kitu otherwise uwe unachukua mzigo mkubwa sanaa..
Nakumbuka nilikua nahitaji Godogo la Tanfoarm Arusha 6× 12 nikapiga kiwandani, wenyewe wakaniambia huku tutakuuziq bei kubwa, wakanishauri wanipe mawasiliano ya Wakala wao mkubwa, kule nikalipata kwa pungufu ya elf 60 kulinganisha na wao..
Sababu ni nini, Wakala mkuu anachukua mzigo mkubwa sana unakuta hata wa mkoa mzima, hivyo discount yake ni kubwa Sanaa..
Tiles nilikua napigwa sana na mawinga wa kariakoo, nilikua nikifiuata mzigo ananiambia subiri dk ngapi, baada ya mda naona wanakuja na gari wameshapakia, hio siku nikaenda na Mwana, yeye akajifanya ndio anahitaji mimi nikawalia chabo, kila wakikunja kona ninao, Mwishowe fumba fumbua tupo keko...
Kwahio basi nakushauri, ulizia bei za viwanda vyao vilivyopo chalinze, mkuanga, Tanga n.k, halafu Nenda Keko ulizia maduka makubwa ya hardware za wahindi/waarabu, fanya comparisons, wao wana ma godown makubwa mno wanauza kwa bei Poa..
BTW Twyford ipo juu kwa bei na ubora,
Usisahau pia zina Grades zao, sio umeona umeenda pale ukatajiwa bei ndogo, ukaenda kule bei ikawa kubwa, ukaona zote ni 40 × 40, ukaridhika, kumbe kuna factors kama unene, kampuni mfano kwa size hio hio Goodwill ipo chini n.k
Sasa mwingine akiuliza size tuu, basi anabeba, unafika nyumbani ni mabumunda, halafu umeuziwa na winga..., asalaaale.
Mawinga michosho. Wanatubonda sana.Sasa unataka watu wakale wapi, udalali lazma utoe tu 🤣 cha msingi kuwa mpole na muelewa tu.
Kidogo tu sio sana, we ukanunue mzigo wa million 5 ukiambiwa umpe winga 50k utaona umepigwa pia Ila akikujumlisha kwenye hio biashara utalipa 5.5M na yeye atakula laki 5 yako. Tujifunze kugawana riziki jamani.Mawinga michosho. Wanatubonda sana.
Kaka mimi huwa sina shida kwenye kupoza. Shida mawinga wengi. Wanakupeleka sehemu upasuliwe kwelijweli alafu yeye ndio apone.. hapo ndio shida kubwaKidogo tu sio sana, we ukanunue mzigo wa million 5 ukiambiwa umpe winga 50k utaona umepigwa pia Ila akikujumlisha kwenye hio biashara utalipa 5.5M na yeye atakula laki 5 yako. Tujifunze kugawana riziki jamani.
Karibu kaka tusikilizie mziki nyuma ya spikaUzi mzuri...
Umemaliza kila kitu..Hivi unajua kuna baadhi ya bidhaa kununua Kiwandani hakupunguzi kitu otherwise uwe unachukua mzigo mkubwa sanaa..
Nakumbuka nilikua nahitaji Godogo la Tanfoarm Arusha 6× 12 nikapiga kiwandani, wenyewe wakaniambia huku tutakuuziq bei kubwa, wakanishauri wanipe mawasiliano ya Wakala wao mkubwa, kule nikalipata kwa pungufu ya elf 60 kulinganisha na wao..
Sababu ni nini, Wakala mkuu anachukua mzigo mkubwa sana unakuta hata wa mkoa mzima, hivyo discount yake ni kubwa Sanaa..
Tiles nilikua napigwa sana na mawinga wa kariakoo, japo bado ikawa chini na bei ya mtaani, nilikua nikifiuata mzigo ananiambia subiri dk ngapi, baada ya mda naona wanakuja na gari wameshapakia, kiwandani nako walikua juu, hio siku nikaenda na Mwana, yeye akajifanya ndio anahitaji mimi nikawalia chabo, kila wakikunja kona ninao, Mwishowe fumba fumbua tupo keko...
Kwahio basi nakushauri, ulizia bei za viwanda vyao vilivyopo chalinze, mkuanga, Tanga n.k, halafu Nenda Keko ulizia maduka makubwa ya hardware za wahindi/waarabu, fanya comparisons, wao wana ma godown makubwa mno wanauza kwa bei Poa..
BTW Twyford ipo juu kwa bei na ubora,
Usisahau pia zina Grades zao, sio umeona umeenda pale ukatajiwa bei ndogo, ukaenda kule bei ikawa kubwa, ukaona zote ni 40 × 40, ukaridhika, kumbe kuna factors kama unene, kampuni mfano kwa size hio hio Goodwill ipo chini n.k
Sasa mwingine akiuliza size tuu, basi anabeba, unafika nyumbani ni mabumunda, halafu umeuziwa na winga..., asalaaale.
Kaka unaweza fanya msaada angalau nipate hints jinsi mambo yapo kwa groundHivi unajua kuna baadhi ya bidhaa kununua Kiwandani hakupunguzi kitu otherwise uwe unachukua mzigo mkubwa sanaa..
Nakumbuka nilikua nahitaji Godogo la Tanfoarm Arusha 6× 12 nikapiga kiwandani, wenyewe wakaniambia huku tutakuuziq bei kubwa, wakanishauri wanipe mawasiliano ya Wakala wao mkubwa, kule nikalipata kwa pungufu ya elf 60 kulinganisha na wao..
Sababu ni nini, Wakala mkuu anachukua mzigo mkubwa sana unakuta hata wa mkoa mzima, hivyo discount yake ni kubwa Sanaa..
Tiles nilikua napigwa sana na mawinga wa kariakoo, japo bado ikawa chini na bei ya mtaani, nilikua nikifiuata mzigo ananiambia subiri dk ngapi, baada ya mda naona wanakuja na gari wameshapakia, kiwandani nako walikua juu, hio siku nikaenda na Mwana, yeye akajifanya ndio anahitaji mimi nikawalia chabo, kila wakikunja kona ninao, Mwishowe fumba fumbua tupo keko...
Kwahio basi nakushauri, ulizia bei za viwanda vyao vilivyopo chalinze, mkuanga, Tanga n.k, halafu Nenda Keko ulizia maduka makubwa ya hardware za wahindi/waarabu, fanya comparisons, wao wana ma godown makubwa mno wanauza kwa bei Poa..
BTW Twyford ipo juu kwa bei na ubora,
Usisahau pia zina Grades zao, sio umeona umeenda pale ukatajiwa bei ndogo, ukaenda kule bei ikawa kubwa, ukaona zote ni 40 × 40, ukaridhika, kumbe kuna factors kama unene, kampuni mfano kwa size hio hio Goodwill ipo chini n.k
Sasa mwingine akiuliza size tuu, basi anabeba, unafika nyumbani ni mabumunda, halafu umeuziwa na winga..., asalaaale.
Twyford wana Ofisi zao apo Shekilango..Business parkHabari ya muda huu wadau.
Nipo stage ya kuweka tiles, sasa hizi hesabu zinanipa headache.
40×40 - box 65
25×40- box 45
Skirting - box 7
Tiles za tangastone- box 18
Naomba msaada wa kupata namba/connection ya kiwanda cha tile twyford pale chalinze.
Au,
Kujua wholesale price ya tiles za twyford kwa sasa. (Kwa nyepesi na nzito)
Natanguliza shukrani za dhati
Nakushauri tumia 50x50 au 60x60 au 30x60Habari ya muda huu wadau.
Nipo stage ya kuweka tiles, sasa hizi hesabu zinanipa headache.
40×40 - box 65
25×40- box 45
Skirting - box 7
Tiles za tangastone- box 18
Naomba msaada wa kupata namba/connection ya kiwanda cha tile twyford pale chalinze.
Au,
Kujua wholesale price ya tiles za twyford kwa sasa. (Kwa nyepesi na nzito)
Natanguliza shukrani za dhati
Udalali mwingi hasa wa kibongo ni wizi,.hapo apewe laki tano ya nini?Kidogo tu sio sana, we ukanunue mzigo wa million 5 ukiambiwa umpe winga 50k utaona umepigwa pia Ila akikujumlisha kwenye hio biashara utalipa 5.5M na yeye atakula laki 5 yako. Tujifunze kugawana riziki jamani.
Shukrani mkuu. Nitafanya utaratibu wa kuwafikia.Ukifanikiwa tunaomba mrejesho