Msaada: Naomba kujua bei ya tiles za jumla au connection ya kiwandani

Msaada: Naomba kujua bei ya tiles za jumla au connection ya kiwandani

Cheki na uyo mwamba!!
 
Attachments

  • Screenshot_20240916-155902.png
    Screenshot_20240916-155902.png
    654.3 KB · Views: 21
Asante ushauri. Ila naomba kujua kwa nn ni bora kutumia size hizo dhidi ya kutumia 40x40.

Natanguliza shukrani
Hizo ndefu ni
  1. Rahisi kutambua errors kama fundi hayuko makini kuzinyoosha utaona makosa kwa urahisi na kumrekebisha kuliko hizo fupi.
  2. Mwonekano wake ni maridadi zaidi
  3. Ulazaji wake unambana fundi kwakuwa akikosea zinamchongea haraka kwakuwa zipo chache
 
Shukrani kwa ushauri kaka. Nimezingatia ushauri.

Ubarikiwe sana.
Hizo ndefu ni
  1. Rahisi kutambua errors kama fundi hayuko makini kuzinyoosha utaona makosa kwa urahisi na kumrekebisha kuliko hizo fupi.
  2. Mwonekano wake ni maridadi zaidi
  3. Ulazaji wake unambana fundi kwakuwa akikosea zinamchongea haraka kwakuwa zipo chache
K
 
Tz tunapenda ujanja ujanja sana kaka. Ila shida kubwa ni wenye maduka
Ukiacha kampuni chache zilizosajiliwa, udalali ndio umekusanya wale wezi na matapeli wa mjini. Tena sijui kwa nini Serikali haichukui hatua kwa hawa wahuni. Madali wasajaliwe, vigezo viwekwe sawa, polisi wapewe elimu ili iwe rahisi kudeal na wahuni wanaobakia.
 
Back
Top Bottom