Hahahahasee nilitafuta dawa ya maumivu ndani sikupata nikasema hata hii itafaa tu...
[emoji2367][emoji2367][emoji2367][emoji2367][emoji2367][emoji2367][emoji2367]duuh sawa asante kwa ushauri nimekuwa mraibu sana wa soda kipindi cha nyuma kidogo situmii pombe nilifanya soda mbadala ila naona sasa zitaniletea tabu.mkubwa ukitaka meno yasikuume achana kabisa na vinywaji vyenye sukari kama soda,energy drinks hasa ya Azam nje ya hapo utayamaliza meno kwa kuyangoa....
Uko wapi nikuelekeze...dawa hupatikana kulingana na mazingira yako...mkoa wako.Habari za muda huu.
Msaada kwa anae fahamu dawa ya kutibu maumivu ya jino watu wengi wananishauri kung'oa ila mi naona sio njia nzuri...
Naomba kama kuna anae fahamu dawa za hospital au hata za kienyeji mana sio kwa maumivu haya jana usiku mpaka nikameza Magnesium asee ...!
shukrani mkuu nipo Arusha miti yote hiyo naipata mapema sana nitakupa mrejesho..Uko wapi nikuelekeze...dawa hupatikana kulingana na mazingira yako...mkoa wako.
Kuna mti unaitwa mchunga kaburi unapatikana Arusha, Dodoma, singida hata Shinyanga Tabora na Mwanza.
Kata tawi lake menya maganda na yale maji maji yake sukutua meno.
Pili...kama utapa ndulele;
- ifunge kwenye kitambaa safi cha pamba
-mwagia mafuta ya taa
-chukua jani au mrija wa jani la mpapai
- washa hiyo ndulele kwa moto
-vuta moshi wake kwa mrija wa mpapai
---huo moshi usiumeze bali ufunge mdomo kwa dakika zisizopungua tatu then fungua mdomo
.....
.....
Matokeo yatakushangaza hasa haya na namba mbili
Naamini utapata matokeo chanya mkuushukrani mkuu nipo Arusha miti yote hiyo naipata mapema sana nitakupa mrejesho..
Dawa ziko 2.Habari za muda huu,
Msaada kwa anae fahamu dawa ya kutibu maumivu ya jino watu wengi wananishauri kung'oa ila mi naona sio njia nzuri...
Naomba kama kuna anae fahamu dawa za hospital au hata za kienyeji mana sio kwa maumivu haya jana usiku mpaka nikameza Magnesium asee.
Kuna MTU alikuwa ananipatia huu utaratibu ila akashindwa kuunga sentensi vizuri nikasema ngoja niingie JF. Niko na kichupa cha mafuta ya taa hapa natafuta namna ya kupata ndulele. Nakushukuru sana QUIGLEY.Uko wapi nikuelekeze...dawa hupatikana kulingana na mazingira yako...mkoa wako.
Kuna mti unaitwa mchunga kaburi unapatikana Arusha, Dodoma, singida hata Shinyanga Tabora na Mwanza.
Kata tawi lake menya maganda na yale maji maji yake sukutua meno.
Pili...kama utapa ndulele;
- ifunge kwenye kitambaa safi cha pamba
-mwagia mafuta ya taa
-chukua jani au mrija wa jani la mpapai
- washa hiyo ndulele kwa moto
-vuta moshi wake kwa mrija wa mpapai
---huo moshi usiumeze bali ufunge mdomo kwa dakika zisizopungua tatu then fungua mdomo
.....
.....
Matokeo yatakushangaza hasa haya na namba mbili
Usiache kuleta mrejesho.Kuna MTU alikuwa ananipatia huu utaratibu ila akashindwa kuunga sentensi vizuri nikasema ngoja niingie JF. Niko na kichupa cha mafuta ya taa hapa natafuta namna ya kupata ndulele. Nakushukuru sana QUIGLEY.
Hii njia ndiyo niliyo tumia,Nilitumia chumvi ya mawe kumumunya kama pipi.Maumivu Yote kwishaa.Hao wanao sema kung'oa,Huwa najiulizaa utang'oa mangapi?Pole Ila using'oa jino mi nilitumia chumvi ndo imeniponya sijaumwa mpaka Leo chukua chumvi weka kwenye jino linalouma Kaa dakika kadhaa utaona maumivu yanapungua fanya hivyo Kila siku mpaka litapona na ichi kipindi unaumwa jino usile vitu vya sukari kabisaa na usilale na chakula mdomoni make sure unapiga mswaki asubuhi na jioni
shukrani mkuu nipo Arusha miti yote hiyo naipata mapema sana nitakupa mrejesho..
Ndulele ukitumia kusukutulia mswaki inafaa kwa meno unaikamulia tu kwenye mswaki lkn usimemeze wakat wa kuswaki ni sumu baada ya kuswaki unatmia maj ya vuguvugu fnya hivyo wiki 1Kuna MTU alikuwa ananipatia huu utaratibu ila akashindwa kuunga sentensi vizuri nikasema ngoja niingie JF. Niko na kichupa cha mafuta ya taa hapa natafuta namna ya kupata ndulele. Nakushukuru sana QUIGLEY.
Naomba kuuliza ni ndulele mbichi au kavu? Na je ni jani la mpapai au bomba lake lile watoto hutumia kupuliza Hali si nzuri meno karibia matatu yanauma please help 🙏🙏Uko wapi nikuelekeze...dawa hupatikana kulingana na mazingira yako...mkoa wako.