Nilipata dawa mkùu nitakutumia picha ya majani fulani yani hutasikia maumivu hataNaomba kuuliza ni ndulele mbichi au kavu? Na je ni jani la mpapai au bomba lake lile watoto hutumia kupuliza Hali si nzuri meno karibia matatu yanauma please help 🙏🙏
Nitag mkuuNilipata dawa mkùu nitakutumia picha ya majani fulani yani hutasikia maumivu hata
Aise mi nilitafuna arovela then nikaing'ata kwenye jino linalouma na kufunga mdomo kwa muda wa nusu saa, yaani maumivu yote yaliisha ni miezi 2 Sasa Ila arovela chungu kweliHabari za muda huu,
Msaada kwa anae fahamu dawa ya kutibu maumivu ya jino watu wengi wananishauri kung'oa ila mi naona sio njia nzuri...
Naomba kama kuna anae fahamu dawa za hospital au hata za kienyeji mana sio kwa maumivu haya jana usiku mpaka nikameza Magnesium asee.
Kama limeanza kukuuma nenda hospital wakaone limeharibika kwa namna gani. Ni vizuri ukatafuta specialist wa meno. Mimi niliwahi kuumwa Dr akanicheck akasema kwa hili linafaa kuzibwa tu. Likasafishwa lizibwa Hadi Leo Niko poa...Wapendwa za jioni
Aki jino linaniuma sana na sitaki kulitoa mwenyew anajua dawa mzuri aki nisaidieni nashindwa kuongea na simu kabisa pleas anaejua dawa
Ngoja nimtume mtu anitafutie karafuu asanteKama limeanza kukuuma nenda hospital wakaone limeharibika kwa namna gani. Ni vizuri ukatafuta specialist wa meno. Mimi niliwahi kuumwa Dr akanicheck akasema kwa hili linafaa kuzibwa tu. Likasafishwa lizibwa Hadi Leo Niko poa...
Pia jijengee tabia ya kuwa unatafuna karafuu ..unakuwa unazibani kwenye meno. Tafuna tu taratibu. Unaweza kuweka hata interval ya siku Moja au mbili..zinasaidia sana kwenye afya ya meno hata kukata harufu ya kinywa. Pia zinapunguza maumivu ya meno kama jino linauma
UjanishawishiMimi huwa navumilia yanaumaga hadi yanakufa, yanapoteza hisia na baadae yanamong'onyoka yenyewe. Naweza kuwa nakula nyama ngumu mara nasikia kuchuu! Jino hilo.
Na Mimi mwanzo nilielewa hivyo lakini baada ya kujishughulisha kutafuta ukweli. Si lazima dawa ya Jino iwe ni kung'oa. Kama Jino halijatoboka sana kiasi cha kubakiza vipande vya mizizi basi dawa yake ni kuziba ama baada ya kuua mishipa ya fahamu ya Jino hilo ama Hata bila kuua mishipa hiyo.Dawa ya jino kun'goa amna porojo tena
Mimi liliwahi kuuma kipindi fulani. Maajabu yake nilikuwa nikilia kwa sauti kiasi maumivu kama yanapungua hivi, nikilia kwa sauti kubwa kabisa haliumi kabisa, nikaona isiwe tabu.Daah jino, miye jino linataka kutoka lakini hakuna nafasi huko mwisho kinywani. Daktari alisema idha wanichane ufizi au kutoa. Looh kutoa jino zima masaa matatu ganzi mbili nilitoka hospital nalia mpk nafika home. Wiki 3 ndiyo maamivu yameisha na dozi kibao sina hamu na jino miye..
Duuh ningekitungua kilio alafu nafunga vioo na mlango kwani shilingi ngapi. Jino ni noma, sasa hili langu lilikuwa zima sema lilikuwa linaota chini ya ufizi basi wee ufizi unavimba kula huwezi kusema pia huwezi unajitonesha.Mimi liliwahi kuuma kipindi fulani. Maajabu yake nilikuwa nikilia kwa sauti kiasi maumivu kama yanapungua hivi, nikilia kwa sauti kubwa kabisa haliumi kabisa, nikaona isiwe tabu.
Kuna dawa moja, unaweza kushangaa! Leo nataka niwanong'oneze hapa JF. Kama kuna mwingine yeyote anaumwa jino/meno, inawezekana leo ndiyo ikawa mwisho wa hilo tatizo. Na naomba, atakae jiona amepona, aje atoe ushuhuda hapa JF.Wapendwa za jioni
Aki jino linaniuma sana na sitaki kulitoa mwenyew anajua dawa mzuri aki nisaidieni nashindwa kuongea na simu kabisa pleas anaejua dawa