huyo drNa Mimi mwanzo nilielewa hivyo lakini baada ya kujishughulisha kutafuta ukweli. Si lazima dawa ya Jino iwe ni kung'oa. Kama Jino halitoboka sana kiasi cha kubakiza vipande vya mizizi basi dawa yake ni kuziba ama baada ya kuua mishipa ya fahamu ya Jino hilo ama Hata ba kuua mishipa hiyo.
Watafute madaktari wa meno mahiri. Mahiri neno Lina uzito hili. Hao watakupa huduma Bora. Madaktari hawa wanapatikana kwa wingi kwenye hospitali za serikali na za binafsi. Pole sana mleta mada.
Kwa Mbeya nenda Agha Khan hospital ipo Karibu na stend kuu ya mabasi ya mikoni. Pia hospitali y UWATA Mbeya, ingawa sina hakika kama yule dentist bado yupo pale. Hospital za serikali, nasikia huko Morogoro Kuna hospital ya Sabasaba. Kwa Dar es Salaam. Nadhani walioko huko wanisaidie kukuelekeza. Asante.Unaweza nielekeza
huyo dr
Nina nti hapa ukiuchemsha na kusukutua Yale maji ndani ya nusu SAA utakua umepona. Najua jina lake kwa kilugha. Sijui nitakuambiaje.Wapendwa za jioni
Aki jino linaniuma sana na sitaki kulitoa mwenyew anajua dawa mzuri aki nisaidieni nashindwa kuongea na simu kabisa pleas anaejua dawa
Mimi huwa navumilia yanaumaga hadi yanakufa, yanapoteza hisia na baadae yanamong'onyoka yenyewe. Naweza kuwa nakula nyama ngumu mara nasikia kuchuu! Umetisha kiongozi
Sawa mama.Acha kiherehere baba
Mim naumwa jino hapa ,napitia maoni ya wadau ili nijitibu, ila pia naogopa hii dawa yako mkuu inaweza kuanza kunipa experience ya kuanza kuvuta shisha!😂Uko wapi nikuelekeze...dawa hupatikana kulingana na mazingira yako...mkoa wako.
Kuna mti unaitwa mchunga kaburi unapatikana Arusha, Dodoma, singida hata Shinyanga Tabora na Mwanza.
Kata tawi lake menya maganda na yale maji maji yake sukutua meno.
Pili...kama utapa ndulele;
- ifunge kwenye kitambaa safi cha pamba
-mwagia mafuta ya taa
-chukua jani au mrija wa jani la mpapai
- washa hiyo ndulele kwa moto
-vuta moshi wake kwa mrija wa mpapai
---huo moshi usiumeze bali ufunge mdomo kwa dakika zisizopungua tatu then fungua mdomo
.....
.....
Matokeo yatakushangaza hasa haya na namba mbili
Wasiwasi wako tuMim naumwa jino hapa ,napitia maoni ya wadau ili nijitibu, ila pia naogopa hii dawa yako mkuu inaweza kuanza kunipa experience ya kuanza kuvuta shisha!😂
Habari za muda huu,
Msaada kwa anae fahamu dawa ya kutibu maumivu ya jino watu wengi wananishauri kung'oa ila mi naona sio njia nzuri...
Naomba kama kuna anae fahamu dawa za hospital au hata za kienyeji mana sio kwa maumivu haya jana usiku mpaka nikameza Magnesium asee.
Inapatikana wapi?Mimi jino lilitoboka niliamua tuu kuosha meno kwa CLENORA mouthwash sasa hivi hata punje ya mhindi ikiingia haliumi. Mimi siyo daktari niliamua tuu na imenisaidia sana.
Duka la dawa, phamacy,chemistry unapata.Inapatikana wapi?