Thanks sana boss nitafanya hivyo ujenzi mwingine maisha ni nyumba nimejenga hii so nina uzoefu wa vitu vingi sana, nimejaribu kupiga hatua japo, ila nimefurahi kwa mawazo yako nitakucheki PM tuzidi kuwasiliana kwaajili ya ushauri wa hapa na paleNimechelewa kuuona uzi, pia ungeweza kuichana 2*6 ukapata 2*2 tatu. Mfano kama ulikua unahitaji 2*2 30, basi kwa 2*6 kumi tu zingetosha hitaji lako
Sent using Jamii Forums mobile app
Pamoja mkuuThanks sana boss nitafanya hivyo ujenzi mwingine maisha ni nyumba nimejenga hii so nina uzoefu wa vitu vingi sana, nimejaribu kupiga hatua japo, ila nimefurahi kwa mawazo yako nitakucheki PM tuzidi kuwasiliana kwaajili ya ushauri wa hapa na pale
Sent using Jamii Forums mobile app
Umetia kofuli PM yako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimechelewa kuuona uzi, pia ungeweza kuichana 2*6 ukapata 2*2 tatu. Mfano kama ulikua unahitaji 2*2 30, basi kwa 2*6 kumi tu zingetosha hitaji lako
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna kk, mi natumia Jf app mara nyingi huwa ina tatizo kwenye pm, ngoja nianze kukupm mimi
Okey ahsante sana,Hamna kk, mi natumia Jf app mara nyingi huwa ina tatizo kwenye pm, ngoja nianze kukupm mimi
Sent using Jamii Forums mobile app
Na mimi kasi ya kukimbia kimbia imenishinda mzee, nimeamua ngoja niende mdogo mdogo nimalize vitu vya msingi kabisa.Dada mimi siwezagi kuhamia hivyo huwa napenda nimalize kabisaaaaa!
Hebu njoo boss unipe makadirio ya kupiga skimmingWeka vipaumbele muhimu kwanza;
1. Grill za milango na madirisha, @120,000/- dirisha na @180,000/- mlango wa mbele.
Hivyo, 120,000x11=1,320,000/- + 180,000/- =.....
2. Wiring materials inaweza cost 1,500,000-2,000,000/- kila kitu kutegemeana na quality ya wiring unayotaka.
3. Plumbing pia ni relative, andaa 1,000,000/-
4. Floor, mchanga gari moja @120,000/-, cement 15-20bags @14,000/-(sijui maeneo yako bei ikoje)
5. Blundering, unaweza kupiga nyumba nzima ili usije kugonga manyundo baadae, inaweza kufika 1,500,000/- kwa nyumba yote.
6. Plastering ndani na nje, gari mbili za mchanga @120,000/-, cement 30-35bags @14,000/-.
Fanya mahesabu, ukifika hapo unaweza kutimba ndani, the rest utamaliza taratibu coz hiyo 15m hauitatosha gypsum boards, skimming, rangi, tiles, PVC board na aluminium windows.
Hongera kwa hatua hiyo mkuu.
May mwaka jana nilifanya vitu vichache vikabaki vitu kama skimming, tiles na Rangi,... Hebu nipe makadirio gharama za fundi za kufanya skimmingWeka vipaumbele muhimu kwanza;
1. Grill za milango na madirisha, @120,000/- dirisha na @180,000/- mlango wa mbele.
Hivyo, 120,000x11=1,320,000/- + 180,000/- =.....
2. Wiring materials inaweza cost 1,500,000-2,000,000/- kila kitu kutegemeana na quality ya wiring unayotaka.
3. Plumbing pia ni relative, andaa 1,000,000/-
4. Floor, mchanga gari moja @120,000/-, cement 15-20bags @14,000/-(sijui maeneo yako bei ikoje)
5. Blundering, unaweza kupiga nyumba nzima ili usije kugonga manyundo baadae, inaweza kufika 1,500,000/- kwa nyumba yote.
6. Plastering ndani na nje, gari mbili za mchanga @120,000/-, cement 30-35bags @14,000/-.
Fanya mahesabu, ukifika hapo unaweza kutimba ndani, the rest utamaliza taratibu coz hiyo 15m hauitatosha gypsum boards, skimming, rangi, tiles, PVC board na aluminium windows.
Hongera kwa hatua hiyo mkuu.
mdogo mdogo siyo tutumie pichaMay mwaka jana nilifanya vitu vichache vikabaki vitu kama skimming, tiles na Rangi,... Hebu nipe makadirio gharama za fundi za kufanya skimming
Kaka mzimaDada mimi siwezagi kuhamia hivyo huwa napenda nimalize kabisaaaaa!
Ninaweza kukupa makadirio yako yote lkn nitahitaji kujua uko mkoa gani kwani kila mkoa una bei tofauti na mwingine.
Aina ya finishing..hii ndio huleta tofauti, mnaweza mkawa na nyumba zenye ukubwa sawa lkn mkatofautiana gharama, hii inatokana na mahitaji ktk finishing yako.
***SIO KILA FINISHING NI "FINISHING"
TAFAKARI CHUKUA HATUA
mkoani skimming kuna fundi alifanya nyumba ya vyumba vitatu 150,000May mwaka jana nilifanya vitu vichache vikabaki vitu kama skimming, tiles na Rangi,... Hebu nipe makadirio gharama za fundi za kufanya skimming
nyumba ya vyumba vinneHebu njoo boss unipe makadirio ya kupiga skimming
Mm yangu nliiwekea mil9 nihamie kumbe nlikuwa nawaza kitoto. Saiz ina mil30 haijaisha na nlihamia ikiwa na 15mil, ikiwa haina lipu, sakafu,blandaring, wala umeme nliweka solar but akat naingia hata solar sikuwa nayo