Wiring nipo kwenye phase B
, phase A tayari na walishachimbia kwenye ukuta hizo conduct pipe, na material ya phase B ni Wire6mm,4mm,1.5mm,2.5mm switch zote,circuit break tronick, 1 gain 1 way, 3gain 2 way vyote hivi tayari nimeshanunua sasa swali ni hivi wakati wa kusuka wire kwenye roof nifanye ya surfaces au nitumie conduct pipe.... Maana ya surface nimeona isijeleta shida kwa kuliwa na panya hizo wire mbeleni au sio rahisi, maana kutumia tena pipe juu wakati wa kusuka naona ni gharama aiseeehhh nisije toka kwenye railway