Msaada: Naomba kupewa gharama za hatua hizi za ujenzi

Msaada: Naomba kupewa gharama za hatua hizi za ujenzi

Inategemea unataka finish ya aina gani ila standard rate mkuu uwe na 25 milion imenyooka pale nyumba finish mkuu hapo ndo utajua umejenga au umebomoa ila 25 milion inaondoka kweupe
25 million? Mimi nina constrain budget ya 15 million na ndiyo maana ya kuja hapa kupata mawazo ya wadau kuweka vipaumbele ili nitoboe, najua finishing ni gharama ila nataka kufanya vile bora kabisa kwa kuweka vipaumbele
 
Hapo namba 7 naongeza na kufunga switch za umeme pia kazi ya mwisho baada ya rangi yaani akifanya wiring aache nyaya zimechomoza kisha akimaliza rangi aweke shitch sasa na hata aluminium

Kama rasilimali fedha inaruhusu, mtiririko wako ni mzuri ila kwa wazee wa rasilimali ni chache ila mahitaji ni mengi mtiririko utakuwa hivi
1.Pulambingi
2.Blandaringi
3.Plasta ili kuzifukia zile konduti paipu za kupitishia nyaya
4.Kuweka gipusamu bodi
5.Aluminiamu ila kama fedha ni utata ana haraka ya kuhamia aluminiam inaweza ikawa namba 4 alafu jipusamu inakuwa namba 5
6.Vigae kwa kuwa wakati wa kuweka jipusamu bodi fundi atakaefunga jipusamu bodi inatakiwa ampe na kazi ya kufanya skimingi ya jiusamu na ukuta hivyo kazi ya uchafu itakuwa imeisha katika hatua namba 4 hivyo itabaki kupiga rangi tu anayoitaka muda wowote akipata fedha (hata yakimshinda anakoishi anaweza akaamua kuingia lakini kazi za karaha zinakuwa zimeisha
7. Wiring alafu inafuata rangi na kufunga switch socket etc
Wiring nipo kwenye phase B
, phase A tayari na walishachimbia kwenye ukuta hizo conduct pipe, na material ya phase B ni Wire6mm,4mm,1.5mm,2.5mm switch zote,circuit break tronick, 1 gain 1 way, 3gain 2 way vyote hivi tayari nimeshanunua sasa swali ni hivi wakati wa kusuka wire kwenye roof nifanye ya surfaces au nitumie conduct pipe.... Maana ya surface nimeona isijeleta shida kwa kuliwa na panya hizo wire mbeleni au sio rahisi, maana kutumia tena pipe juu wakati wa kusuka naona ni gharama aiseeehhh nisije toka kwenye railway
 
Conduct pipe ndio nzuri tena itapunguza gharama za wire zinaweza kubaki maana ukipiga blundering zile conduct pipe unalaza kwenye mbao tu na kuzishikiza wakati wire tupu lazima zitambae na mbao hivyo umbali unaongezeka na urefu wa wire unaongezeka
 
Humu tunapeana uzoefu ambao unapelekea kumpa mwongozo mdau yeyote wakati anaenda kukutana na fundi ili ABC za hatua muhimu za ujenzi aweze kujua hivyo mkuu MakinikiA otoe shaka
Yah na huo ndiyo ukweli, hapa tunapeana mawili matatu preliminary stages nikutafuta information then unaingia kwenye field
 
Conduct pipe ndio nzuri tena itapunguza gharama za wire zinaweza kubaki maana ukipiga blundering zile conduct pipe unalaza kwenye mbao tu na kuzishikiza wakati wire tupu lazima zitambae na mbao hivyo umbali unaongezeka na urefu wa wire unaongezeka
Naona hata conduct pipe fundi alisema zitapita kwenye mbao na zinakula kama bundle 3 ila pia akasema kama nitataka zipite shortcut atafanya ila haitakua katika mpangilio kusukia pipe
 
Naona hata conduct pipe fundi alisema zitapita kwenye mbao na zinakula kama bundle 3 ila pia akasema kama nitataka zipite shortcut atafanya ila haitakua katika mpangilio kusukia pipe
Kama hakuna athari shortcut ni nzuri maana wire tayari inajibeba kwenye conduct pipe na conduct pipe unakuwa unazishikiza kwenye mbao za blunduring kwa kuwa zinakuwa zipo karibu karibu and of course ukipiga gypsum kule darini hapaonekani ...kikubwa ni kuangalia connection muhimu maana kuna sehemu kama inahitaji kutambaa na ubao itambae pia (kwenye wiring za nje kama baadhi ya majengo ya serikali inabidi itambae kwa utaratibu maalumu ambao wa kupendeza
 
You have a good point ila vipi kwenye mng'aro hazitatofautiana sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Design tofauti. Zisifanane. na haziwezi kufanana.
 
Hivi gharama za urembo wa nguzo na za madirisha mwenye kuelewa anipe bei elekezi
 
Hivi gharama za urembo wa nguzo na za madirisha mwenye kuelewa anipe bei elekezi
Kuna fundi mmoja anaitwa Dulla, alikuwa anaishi yuko mbezi beach ma-site, kwa sasa sijuwi, anaiweza sana hii kazi...0717 699 174, nami niko mbioni vyuma vikiachia...
 
Kuna fundi mmoja anaitwa Dulla, alikuwa anaishi yuko mbezi beach ma-site, kwa sasa sijuwi, anaiweza sana hii kazi...0717 699 174, nami niko mbioni vyuma vikiachia...
ngoja nitamcheki mkuu hasa urembo wa nguzo, ila kwenye madirisha dah hivi urembo wa kwenye dirisha ni muhimu hakuna kitu kingine utaweka ipendeze zaidi naona kila mtu sasa anaweka sipendi kufanya kitu vifanane
 
Exactly...?? Tena afanye window shopping za kutosha, kabla ya kufanya manunuzi, mimi nilikimbilia kwa wa Spanish pale... Nimekuja kuona tiles zingine super nikachoka kabisa
Mkuu unasema ulikimbilia kwa wale wa Spanish maeneo ya Victoria GEPF? vipi tiles zao si nzuri kihivyo, au bei ni kubwa sana, au tatizo lilikuwa nini zaidi? na hizo zingine super uliziona wapi mkuu (wapi wanauza na bei zikoje) ni za spain, china, india au za wapi?. Nakuuliza maswali yote haya maana nami nimefikia hatua ya kuweka tiles ila kuna kitu kinachanganya sana kwa mfano eti inasemekana tiles ambazo baadhi ya maduka wanasema ni kutoka spain si kweli bali ni za kutoka china ila zina ubora fulani hivi sasa hawa wauzaji wanatake advantage ya wabongo kupenda za spain na hapo ndipo wanapotupiga hela ndefu!!! Nahitaji kununua tiles bora kwa ajili ya sebule, dining, jiko na verandah/corridor then vyumban/toilets nitaweka tu hizo zinaitwa china grade one japo nazo ni changamoto moto kweli kuzijua.
 
Tiles inategemea unataka Spanish au Mchina.
Mchina grade 1 sitting room 50*50 ndio zinapendeza box moja 30,000-35,000/- box moja sqm 1.5. Sitting room yako 20sqm utahitaji 14boxes ambayo ni 490,000/-.
Fundi anachaji sqm moja 5,000/-
Mkuu RRONDO hizi mchina grade one zinapatikana wapi? na je unazijuaje, ila bongo noma nasikia kuna maduka yanauza mchina grade one then wao wanasema eti ni spanish!!
 
Mkuu RRONDO hizi mchina grade one zinapatikana wapi? na je unazijuaje, ila bongo noma nasikia kuna maduka yanauza mchina grade one then wao wanasema eti ni spanish!!
Kama ni Tiles ya mchina unatakiwa kuwa makini sana, tho za mfupa ndiyo naona zipo pouwa and are mostly OG,
 
za mfupa ndo zikoje tena mkuu na je nitazipata wapi
Yani tiles hizo hizo za mchina ila zipo ambazo zimetengenezwa kwa material ya mfupa na nyingine udongo kama sijakosea, zipo mbona kwenye maduka ya hardware zipo nyingi, ila za Spanish ndiyo zipo kwa wakala wachache, njoo pm nikutumie account ya insta ya jamaa anaeuza za spanish sema tiles za spanish ni ghari sana
 
Back
Top Bottom