Msaada: Naomba kupewa gharama za hatua hizi za ujenzi

Nakuelewa sana sema hapa nahitaji bei elekezi na kwangu inakua kama makisio ili nijue najipangaje, nipo Arusha ariffffff
 
Hebu niambiwe Bei yake spnach ni zaidi ya mchina?
Bei ya spanish ni karibu zaidi ya mara mbili ya bei mchina.
Lkn kwasasa kuna mchina mzuri wa size ya 40x40cm na 50x50cm
 
Hivi frame za milango an milango huwa zinawekwa kabla ya floor
 
Nakuelewa sana sema hapa nahitaji bei elekezi na kwangu inakua kama makisio iki nijue najipangaje, nipo Arusha ariffffff
Kumbe uko hapa mgongoni mwangu?
Spanish yupo pale nanenane au maarufu BP.
Fika pale ujionee bei zake.
 
Dirisha moja la aluminium 150cm*150cm bei huwa 230,000-250,000. Likizidi ukubwa huo mnaelewana na fundi. Kwa madirisha yako 11 andaa angalau 3m
Kwa size hizo za mdirisha, je hapo nitadondosha mpunga wa kiasi gani
 
Kumbe uko hapa mgongoni mwangu?
Spanish yupo pale nanenane au maarufu BP.
Fika pale ujionee bei zake.
Hahahahaha sawa jirani, sasa ni kiasi gani zinapishana na mchina
 
Bei ya spanish ni karibu zaidi ya mara mbili ya bei mchina.
Lkn kwasasa kuna mchina mzuri wa size ya 40x40cm na 50x50cm
Kumbe kuna mchina mzuri ni grade ngapi
 
Niwezeshi kunipa makadirio sasa site ipo Arusha
 
Kwa Arusha nakushauri nunua tiles za India(BSM) na za Kenya (SAJI) nimeweka mjengoni kwangu ni miaka sasa,nzuri,zinadumu na bei nafuu.
Kwa aluminium kuna fundi mzuri sana na bei nafuu anapatikana hapa Atown.
Endapo utahitaji kuona kazi zake au kumuona uso kwa uso,ni ww tu kusema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…