Msaada: Naomba kupewa gharama za hatua hizi za ujenzi

Msaada: Naomba kupewa gharama za hatua hizi za ujenzi

Baba paroko heshima yako
Najenga kanisa Kigango kingine endeleeni kutoa sadaka vizuri na mimi nipo huku naangalia ni wapi fundi wanataka kuchakachua..... Hela ya sadaka ni sumu huwa hailiwi kirahisi
 
Nakushauri usifikirie tiles wala aluminium windows kwa sasa, fanya yale muhimu kwanza as umesema unataka kuingia ndani.
Grills za madirisha na milango, wiring, plumbing, floor, blundering, plastering, then kama pesa ipo bado weka gypsum boards, skim ndani na nje, weka milango ya mbele na nyuma....
Kwa mtiririko huo, Ila kama unataka umalize chumba kimoja kimoja hapo sawa.
Madirisha, frame, milango, blunderling, wiring & plumbing ndiyo naanza navyo.... Tiles zitawekwa rooms zote, sitting & dinning room maana nyumba ina vyumba vinne
 
Hivyo vyote ulivyomtajia hapo juu approximately ni 8m, yeye ana 15m. Atabaki na 7m anaweza kuweka aluminium na gypsum kwa hela inayobaki.

Kwa nyumba ya kawaida ambayo ishaezekwa 15m finishing inatosha sana.
Na mimi nimegundua hilo kwamba ninamaliza kutokana na michango yenu, yani hasa baada ya kuanzisha huu uzi nimeona ninapo elekea nitafika salama kabisa..... Sema gharama za mafundi zina vary ningepata muongozo juu ya hela za ufundi ni kiasi gani katika kila kazi nilizo zitaja hapo juu yani kwa makisio tu kwa nyumba yenye vyumba vinne pia ingeniweka huru sana kifedha
 
Nyumba yake sio ndogo, almost 180sqm lazima materials na ufundi vitamkosti . Ingekuwa mimi ningeweka tiles kabla ya aluminium, aisee lile vumbi la rough floor noma sana.

Mkuu hapo ndipo ukweli ulipo, nimejaribu kuchukua quotations za mafundi watatu naona wapo juu sana kwa gharama na materials pia kwa mfano blunderling mbao sio chini 3*2= 1200, 2*2=1400 kwa kuwa sitting room na dinning room siweki ua naweka ngazi mbili tu simple tu, hapo kuna ukweli.
 
Mkuu in short hiyo hela haitoshi. Yaan hapo 25mil maana nyumba yako sio kubwa na sio ndogo. Jiandae kisaikolojia. Japo hujasema nyumba yako ipo level gani. Ungepiga pic tukushauri vizuri
 
Mm yangu nliiwekea mil9 nihamie kumbe nlikuwa nawaza kitoto. Saiz ina mil30 haijaisha na nlihamia ikiwa na 15mil, ikiwa haina lipu, sakafu,blandaring, wala umeme nliweka solar but akat naingia hata solar sikuwa nayo
 
Mkuu kama hutajali nikuunganishe na fundi mmoja yupo moshi uongee nae uone atakwambia bei gani kufanya blundering
 
Mkuu in short hiyo hela haitoshi. Yaan hapo 25mil maana nyumba yako sio kubwa na sio ndogo. Jiandae kisaikolojia. Japo hujasema nyumba yako ipo level gani. Ungepiga pic tukushauri vizuri
Mm yangu nliiwekea mil9 nihamie kumbe nlikuwa nawaza kitoto. Saiz ina mil30 haijaisha na nlihamia ikiwa na 15mil, ikiwa haina lipu, sakafu,blandaring, wala umeme nliweka solar but akat naingia hata solar sikuwa nayo
Bado nini na nini. Yaan upo stage gani
Maajabu haya. Unamwambia haitoshi halafu hata hujui kafika stage gani!
Amesema kashaezeka.
 
Kama keshaezeka ujue he still have long way to go. Yaan in short umemaliza asilimia 40 ya ujenzi. Hapo ndo ujenzi umeanza, finishing huwa inakula sana pesa. Weka milion4.5 gril za madirisha na vioo vyake, blqndaring na gypsum weka 3m, lipu nje ndani 2.5m, rangi nje ndani, inategemeana na rangi gani unaweka ila min 2.5+m, umeme minimum1m maji 1.5 to 2m nimetaja hizi bei zote ni kiwango cha chini sana
 
Acha kuropoka wewe. Ana madirisha 11 grill moja kaambiwa 150,000 jumla ni 1,650,000.
Nyinyi ndio huwa mnajisifu nimejenga nyumba ya 100m mtu akiangalia haoni cha 100m kumbe umepigwa tu.
 
Acha kuropoka wewe. Ana madirisha 11 grill moja kaambiwa 150,000 jumla ni 1,650,000.
Nyinyi ndio huwa mnajisifu nimejenga nyumba ya 100m mtu akiangalia haoni cha 100m kumbe umepigwa tu.
Naongea kutokana na experience, so we hujajenga bora ukae kimya. Kuna vioo umeweka gharama zake?, kuna fundi hujamlipa
 
Mafundi wa humu wengi na wale wanaowajengea watu wa MASAKI na Oysterbay,Nenda mtaani tembea tembea ukiona mafundi wanajenga wewe waulize tu nataka kufanya moja mbili tatu,nakuambia hao mafundi wanawajua mafundi wenzao wanaoweza kufanya kazi kwa bei za kimtaa na ubora mzuri.

Humu watakupa bei za ajabu sana.
 
Najenga kanisa Kigango kingine endeleeni kutoa sadaka vizuri na mimi nipo huku naangalia ni wapi fundi wanataka kuchakachua..... Hela ya sadaka ni sumu huwa hailiwi kirahisi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatutoi sadaka
 
Back
Top Bottom