ashomile
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 2,936
- 3,054
Habarini Za Mchana Huu ,
Poleni na majukumu , nimekuja kwenu WanaIT mnisaidie swala hili , maana swala hili limenishinda kwa kutumia mawazo yangu pekee.
Majuzi kuna Hp Chromebook Ram 4 na Internal Storage SSD 16 nilfanikiwa kuactivate window, nikamkabidhi mwenye nayo akaondoka , sasa basi akaniambia anataka kufanya updates ya drivers , basi akafanya kwa kutumia DRIVER BOOSTER akaniambia baada ya kuinstall sehemu ya sensor ya mouth haifanyi kazi na sauti imepotea moja kwa moja , nikajaribu nikashindwa ,njia iliyobakia nikawaza nipige window , kila nikitaka kupika window , storage ni ndogo , nikaenda kwenye program nika-uninstall kila kitu, nikaenda kwenye window nikafuta kila kitu baada yakuhamishia vitu kadhaa kwenye external hdd ,muda kidogo ikaniletea error , na ikawa haiingii kwenye mfumo , basi nikaboor kutumia ESC nikaenda kuchagua USB flash ilipo , ikakubali kuboot , nikaanza hatua za kuinstall Window lakini ikagoma baada yakufika asilimia 12% , ikaniamnia chrome book mpaka iwe online wakati haiwezi kwenda kwenye mfumo wa kawaida .
Mwenye Ujuzi anisaidie niweze kupiga window ili niiamshe maana inaishia hapa kwa sasa