MSAADA: Naomba uzoefu kwa wanufaika wa scholarship au yeyote mwenye ujuzi wa masuala ya kusoma nje

MSAADA: Naomba uzoefu kwa wanufaika wa scholarship au yeyote mwenye ujuzi wa masuala ya kusoma nje

Linke
Kama una linkedin, huwa zinapostiwa sana na pia kuna page ambayo ipo special kwa kutangaza fursa za scholarships and funds ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ
Din ninayo kaka ngoja niichek hio page Asante sana
 
Nina ndoto ya kusoma nje ya nchi naombeni ushauri kwa wale mliowahi kunufaika na full funded scholarship.

Mliwezaje na vitu gani nianze kujiandaa navyo ili niweze kupata na mimi nitimize ndoto yangu?๐Ÿ™๐Ÿ™
Fursa za kusoma nje zinaanzia baada ya kuitimu kidato cha sita wakati unatafuta vyuo! Wizara ya elimu sayansi na technolojia na elimu ya juu wanahusika saana nenda au tembelea website zao. Hila nadhani mleta mada kamaliza kidato cha nne anaanza kuwaza kusoma nje! Too early bro!
 
Ni jambo muhimu, na ni uhakika utapata hiyo fursa unahitaji Mkuu.
 
Fursa za kusoma nje zinaanzia baada ya kuitimu kidato cha sita wakati unatafuta vyuo! Wizara ya elimu sayansi na technolojia na elimu ya juu wanahusika saana nenda au tembelea website zao. Hila nadhani mleta mada kamaliza kidato cha nne anaanza kuwaza kusoma nje! Too early bro!
Ni ukweli lakn siku zote tunafaa kujiandaa mapema coz combetion ni nzito
 
Back
Top Bottom