Msaada: Naombeni kujua bei ya hii gari inatakiwa kuuza bei gani

Sasa usajili umefika F mkuu T×××F××
 
December tulikua DS
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zipo kaka yani passo,vits na suzuki wanazo gari za piston 3!

Ukiona Toyota engine code ni 1KR ujue piston 3 hio, kelele ndio kwao humo kama vile Chainsaw au Blender ya kenwood! 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hebu comment kuhusu nissan FUGA
 
ebu comment kuhusu nissan FUGA
FUGA ni full mahaba mle 🤣🤣🤣❕ Ukizungumzia gari basi huwezi acha kuongelea chuma kama Fuga. Mle mjapani alitulia sana nadhani baada ya kula birian ya kijapan na kushiba. Yani ukipanda mara ya kwanza unaweza hisi hamna starehe kwenye gari nyingine isipokuwa mle tu.
 
Kwahiyo crow brevis markx alteza kwa fuga hawafuatii?
 

December ilikuwa DS
 
Ml 3 ya kuanzia mwisho ml2.5



Si unajua tena ata bajaji za siku izi zina ya kukingia mvua so bei hazi pishani sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…