Palantir nielekeze nikitaka kuchukua coment flani kutoka uzi flani kupeleka uzi mwingine nafanyaje? Sio Copy and Paste. Labda Comment flani nataka niichukue niwrke pale juu kwenye thread
mkuu assume uzi una comments 10 tofauti, halafu wewe unataka kuzi quote comments mbili kwa wakati mmoja basi uta quote ya kwanza kisha utaenda ku quote ya pili halafu ndio utareply. inamaana comment yako itakuwa inajibu comments mbili kwa mpigo hivyo sasa imekuwa multi quote.
Kama ni kuquote uzi mrefu ili uujibu kwa aya zake!. Basi ukishauquote itakubidi ufanye kuweka;Nooo au unatoa maneno gugo unayelta huku bila C & P
Mfano hii habari chini...........
1Davinci unataka kuquote uzi mrefu wenye aya kama 12 hivi na zote unataka uzijibu kwa vipengele.
2Da'Vinci ' Nenda kwenye hiyo website copy link yake then ukija JF ukitaka kuanzisha mada au changia mada itatokea picha kama hiyo juu.
3Hapo sasa Button za juu kabisa hiyo ya 9 ukiibonyeza itakuuliza kama unataka embed link Right click (hold) mpaka ilete option ya PASTE ikishatokea link uliokuwa umeicopy kwingine mchezo umeisha!.
4Hata kama ni video ikiload itatokea JF!.
Sio hv hua inakua post ndeeeefu hafu unaikata kata vipande kwa kumjibu mtu..
Jf intelligence ndo hutumika..
Hivi eeehHii kitu nadhani ipo applicable kwa kutumia Browser, ngoja wajuzi waje watuelekeze
Sio hv hua inakua post ndeeeefuKama hivihafu unaikata kata vipande kwa kumjibu mtu..
Jf intelligence ndo hutumika..
HapanaHivi eeeh
Nini?Au ulikuwa unamaanisha
Hapanakupost link ya uzi mwingine!?.
Angalia post namba 90 ndio nimequote namna inavyotakiwaHivi eeeh
Mmh hiyo ngumu kumeza aiseeAngalia post namba 90 ndio nimequote namna inavyotakiwa
Acha woga mkuu
Jitahidi utaweza, soma vizuri maelezo ya Palantir hapo juuhiyo ngumu kumeza aisee
1. Alichokuwa anafanya ni kuupdate uzi wake kwa kuchukua comment anazoona zinamfaa yani Nenda kama unataka mquote mtu then Hold(right click) nenda 'copy all' halafu rudi back nenda kwenye original post yako hapo juu then Edit halafu chini ya uzi uliouleta ipaste hiyo comment Ni kama wewe uamue kucopy comment ulizoona zimekusaidia halafu uende kuuedit uzi wako uzipaste chini yake!.Poa kuna sehem nimekutag uone.
umeweza sasa kuimbbed link [emoji2][emoji2]
Palantir nielekeze nikitaka kuchukua coment flani kutoka uzi flani kupeleka uzi mwingine nafanyaje? Sio Copy and Paste. Labda Comment flani nataka niichukue niwrke pale juu kwenye thread
Kama hiviKama ni kuquote uzi mrefu ili uujibu kwa aya zake!. Basi ukishauquote itakubidi ufanye kuweka;
mbele [qu ote]...........[/qu ote]mwisho(usiruke nafasi lisomeke QUOTE na /QUOTE)
Hapo ukiwa umeyatenga maneno unavyotaka kuyaquote!.
YATATOKEA HIVI
Mfano hii habari chini
Davinci unataka kuquote uzi mrefu wenye aya kama 12 hivi na zote unataka uzijibu kwa vipengele. Da'Vinci ' Nenda kwenye hiyo website copy link yake then ukija JF ukitaka kuanzisha mada au changia mada itatokea picha kama hiyo juu. Hapo sasa Button za juu kabisa hiyo ya 9 ukiibonyeza itakuuliza kama unataka embed link Right click (hold) mpaka ilete option ya PASTE ikishatokea link uliokuwa umeicopy kwingine mchezo umeisha!.
Hata kama ni video ikiload itatokea JF!.
JINSI YA KUFANYA SASA
[qu ote]Davinci unataka kuquote uzi mrefu wenye aya kama 12 hivi na zote unataka uzijibu kwa vipengele.[/qu ote]
1
[qu ote]Da'Vinci ' Nenda kwenye hiyo website copy link yake then ukija JF ukitaka kuanzisha mada au changia mada itatokea picha kama hiyo juu.[/qu ote]
2
[qu ote]Hapo sasa Button za juu kabisa hiyo ya 9 ukiibonyeza itakuuliza kama unataka embed link Right click (hold) mpaka ilete option ya PASTE ikishatokea link uliokuwa umeicopy kwingine mchezo umeisha!.[/qu ote]
3
[qu ote]Hata kama ni video ikiload itatokea JF!.[/qu ote]
4
ITATOKEA HIVI
1
2
3
4
PS: 1, 2, 3 na 4 zimesimama kama hoja ulizotaka kuziongelea kwenye hiyo sentensi uliyoiquote!.
Natumai umeelewa!.
anhaaa hivi jee?Acha woga mkuu
,Jitahidi utawezasoma vizuri maelezo ya Palantir hapo juu
Quote ionekane kama ilivyoonekana kwenye post yanguanhaaa hivi jee?
Afanye kama wewe sasa kwenye Orijinal Post yake!.Kama hivi